home >>
stonecroft>>roho
mtakatifu yuko wapi?>>la
tano >> la sita (6)
Stonecroft - Roho Mtakatifu yuko wapi? - La Sita (#6)
SOMO LA SITA (6)
KUFURAHIA UWEPO WA MUNGU
The Guide has her own Guidebook
to help her lead and guide the lesson.
Download Swahili Lesson
#6 Guidebook
Download
Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #6
LENGO LA SOMO
• Kujifunza Biblia inasema nini kiuhusu kuishi maisha
ya kawaida ya Kikristo.
• Kurudia upekee na tabia za Mungu mwenyezi.
• Kuthibitisha furaha ya kujishusha mbele ya Mungu baba mwenyezi.
MAOMBI
Munu mwenyezi, ulivyo mkuu . asante kwa kwa ajili ya Yesu Kristo,
ambaye anafunua upendo wako na wokovu mkuu kwetu. Asante kwa ajili
ya Roho Mtakatifu ambaye yuko pamoja nasi kila mara. Katika jina
la Yesu, AMEN
KUJISOMEA BIBLIA KWA JUMA
(Use your Bible
or Africa Bible Verse Handbook)
Vifungu hivi vinaelezea sana kuhusu maisha
ya mkristo.
Warumi 7:14-25
Warumi 8:1-17
Wakolosai 3:1-17
Warumi 12:1-8
Warumi 12:9-21
Warumi 15:1-13
|
MAONI YA KIONGOZI
Kati ya tabia ambayo mtu anaye mjua Mungu anayo ni kuwa yeye yuko
tofauti kabisa na wale ambao hawamfahamu Mungu.
Sio Wakristo wote kuangalia Ukristo wao utawapima kwa kuptia tabia
yao ambayo wanayo kama tulivyosoma katika wiki hii.Biblia inasema
kuwa tabia ni kuwa inakuwa nzuri kwa sababu ya kuishi maisha ya
Ukristo lakini ni kwa sababu ya uwepo war oho Mtakatifu na ndio
maana tabia yetiu sisi kama Wakristo tabia yetu inakuwa ,iko nzuri
sana.
Kila kitu katika maisha yetu kinaathiiriwa sana wakati ambapo tunakuwa
na uwepo wa Mungu nadani ya maisha yetu.
1. Baada ya kusoma vile vifungu ndani ya Biblia
ndan ya wiki. Andika aya kwa kuelezea, viwango vya kiBiblia
kuhjusu maisha ya kawqaida ya mklristo. (Baada ya wanafunzi
kuandika , wape nafasi ya kusoma majivu ,yao kila mtu peke yake).
|
Maisha ya kawaida ya mkristo, kulingana na kusoma Biblia, inakuwa
kama vile haiwezekani kuyakabili. Hatuwezi kuyafikia sisi kama sisi,
hata kama tutaishi kwa muda mrefu namna gani. Lakiini inawezekana
kwa msaaada wa Roho Mtakatifu.
Wiki iliyopita tullijifunza kuhusiana na zawadi ambazo Mungu ametupatia.
Kwa hiyo, swali linalolfuata lilikuwa ni rahisi sana kulijibu.
2. Kwa wale ambao Mungu amewapatia kwa kuwa wanamwamini yeye,
kwa hiyo je wanaweza kuishi maiha ya kawaida ya Kikristo?........(Kukaa
kwa Roho Mtakatifu ndani yao) Tunatakiwa tujiulize
sisi wenyewe kwa nini Mungu alitupatia Roho Mtakatifu. Kila
tunalolifanya yeye Mungu alitupatia msaidizi wa kutusaidia.
Kama tungeweza kuishi maisha ya utakatifu na uzuri kwa nguvu
zetu wenyewe kusingekuwa na uwezekano wa kuwa na Roho Mtakatifu,
na Mungu , asingeweza kumtuma Roho Mtakatifu kwetu.
3. Yesu aliweka bayana jinsi Roho Mtakatifu anavyoweza kukamilisha
mambo ambayo hayawezekani , amabyo Mungu amepanga kwa ajili
yetu kutufanyia au kuyafanya. Soma katika Yohana 15:1-8
na ujaze nafasi zilizoachwa wazi, na maneno uchague haya hapa.
Mimi...................... Kuba ki .....................Yesu
...................Mungu ....................Roho Mtakatifu
Mtunza bustani ni (Mungu)
Mzabibu ni (Yesu)
(Mimi) ni tawi.
Maisha yanayotokea kutoka kwenye mzabibu mpaka kwenye matawi
yamekuwa yanapatikana kwa kupitia (Roho Mtakatifu).
Matawi hayawezi kujipigania na kujipatia nguvu peke yake.
Yana kuwa na kutoa matunda kwa (kubaki) yakiwa yameshika
na na mzabibu. |
Tunabaia tukiwa tumejishika katika mzabibu kwa kuweka uhusiano
wetu na Mungu ukiwa mzuri.
Tutabakia tukiwa tumeshikamana naye kwa kusoma neno lake yaani
Biblia, kuomba, kusikiliza ulizi wake, na kutii mapenzi yake.
Pale tunapoendelea kuwa na ushirika nay eye, tunaendelea kuwa katika
uwepo wake. Tunapo fanya kazi zetu za kila siku, tunajikuta tukia
katika kusema naye kila mara kwa sababu njia ya mawasiliano imefunguliwa.
Tunapozidi kumwelewa Mungu kwa kupitia neno lake ndivyo ambavyo
tutazidi kumwamini sana katika maisha yetu.tutakua kiima ni tunapoendelea
kuwa karibu na neno la Mungu kwa sababu imani inakuja kwa kusikia
neno la Mungu. Tunapofanya mazungumzo naye, ndivyo ufahamu wetu
unavyokua na kuelewa mapenzi yake. Je tunazungumzaje na Mungu?..............(Mungu
anaongea na sisi kwa kupitia Biblia, na tunaongea na Mungu kwa kupitia
maombi).
Lengo mojawapo la kujifunza masomo haya ilikuwa ni kuanzisha muda
wa mara kwa mara wa kusoma Biblia. Iwe kuwa ulikuwa unasoma mara
kwa mara ndani ya wiki, kila siku, au siku moja kwa wiki, lakinilengo
kjuu ,lilikuwa ni kuanzisha ratiba ya kila mara kusikiliza ambacho
Mungu anataka kusema.
4. Tangu tumeanza mafundisho haya je umeanzisha
ratiba yakila siku ya kusoma Biblia?
(Watie moyo wote ili waweke malengo ya namna yak us oma
Biblia kila mara).
|
Kumsikiliza Mungu, mugu anazungumza na sisis kupitia neno lake,
na kuwa na ushirika mzuri nay eye. Kama ambavyo imeunganishwa katika
mzabibu ambapo ndio maisha ya matawi, maisha yetu ya kiRoho yako
hai kwa kuwa tumeunganishwa na Yesu Kristo. Tunakuwa watu wasioweza
kuzaa matunda hasa pale ambapo tunamzuia Roho Mtakatifu kuishi ndani
yetu.
KUMZUIA ROHO MTAKATIFU 5.
Je, tunamzuiaje Roho Mtakatifu.
Matendo 7:51…..
(Tunamkataa yeye kwa usumbufu wetu na kutokuweza kumsikiliza
yeye.)
1 Wathethalonike 5:19-20……
(Tukataa ujumbe wake anaoutuma kwetu.)
Isaya 63:10……
(Tunamuudhi kwa kuwa hatutambui uangalizi wake kwetu sisi.)
Matendo 5:3……
(Tunaweza kumwongopea yeye.)
|
Sasa tunaweza tukajifunza kuwa tunatakiwa kutokumzuia Roho Mtakatifu
katika kuja kwake kusema na sisis kwa akutii kile anachotaka tukifanye,
na kuendelea kuishi katika ushirika nay eye.
Mara nyingine woga wetu, unamfanya Roho wwa Mungu kuwa mbali na
sisi. Na mashaka pia hufanya kutokusikia kile ambacho Mungu anataka
kukifanya kwa ajili yetu na kushindwa kusikia sauti ya munngu.
6. Unapofanya maamiuzi, je unawezaje kujua kuwa
wakati gani ambao Mungu ana kuongoza wewe? Oanisha sentensi
zifuatazo na mstari unaoendana na sentesi husika.
a. Dhamiri yako haikuhukumu wewe.
b. Neno la Mungu linathibitisha maamuzi yako.
c. Mambo ambayo yako nje ya uwezo wako yathibitishe.
d. Je una amani ndani ya moyo wako.
(d) Wafilipi 4:6-7……
(a) Warumi 2:15……
(c) 1 Samweli 10:7……
(b) 2 Timotheo 3:16…… |
Rejea-angalia mambo mamnne katika maisha yako ambayo yanathibitisha
kuwa Roho mtakatifu anakusaidia katika maamuzi yako,tunaamani katika
mioyo yetu,je unatii neno,dhamira zetu zinakubari,na matukio huthibitisha
hilo.
7. Unapokuwa mkristo, maisha yako yanakuwa yameongezeka
na utambulisho wako mpya.jitambulishhe utambulisho wako mpya
kwa maneno yako wewe mwenyewe na ina maana gani kubwa sana kwako
katika maisha yako. |
Mstari .
|
Utambulissho wangu mpya
|
Jinsi ya kutumia ndani ya maisha yangu
|
1 Yohana 3:1……
|
Mimi ni mwana wa Mungu
|
Nitaonesha kupitia utakatifu wangu.
|
Yohana 15:15…..
|
Mimi ni rafiki wa Mungu
|
Nitatumia muda wangu kuwa na wewe
|
Wafilipi 3:20-21….
|
Mimi ni raia wa mbinguni
|
Nitaishi milele mbinguni
|
Waefeso 3:12….
|
Mimi niko katika umoja na kristo
|
Nina ruhusa ya kumwendea Mungu.
|
1 Wakorintho 6:19-20…. |
Mimi ni hekalu la Mungu.
|
Sitaacha kujisifia mwenyewe, lakini nitajipeleka
kwa Mungu mimi mwenyewe ili anitumie atakavyo.
|
Baada ya majibu yao,muda ukiruhusu,unaweza ukahitimisha majibu
yao kwa kusoma maeneo mawiri.
VITA YA KIROHO
Tuna kila kitu kinachompendezesha Mungu na kinachotuopendezehs
sisi. Tunaona ushindi katika maeneo Fulani Fulani hivi katika maisha
yetu na viata katika m aeneo mengine.
8. a. Maisha ya mkristo ni matatizo. Kuna ushindani mkubwa kati
ya kushindwa na mafanikio. Rekodi kati ya maeneo ambayo una
migogoro nayo au maeneo ambayo una migogoro nayo hata sasa……
b. Mungu ameshaandaa njia ya kutokea kwa matatizo ambayo tunayo
kati ya mapenzi yetu na mapenzi ya Mungu mwenyewe. Soma katika
Waefeso 6:10-18…… Unampango gani
wa kutumia mistari hii ndani ya maisha yako?....
|
Je unaweza ukavaa zana za kivita iwapo unaenda kulala ? Je tunahitaji
zana za kivita za kiroho iwapo hutaki kuingia katika vita vya kiroho
.lakini kwwakuwa hatujui ni wakati upi vita na mashambulizi yanatokea
basi unapaswa kuwa makini.
9. hatupigani vita ya kiRoho kwa nguvu zetu wenyewe.
Mistari ifuatayo inatufundisha ni jinsi gani ya kupata ushindi
katika vita ya kiroho. Oanisha na mistari inayoendana.
a. Vaa silaha zote.
b. Usialike jaribu lolote lile.
c. Mfanye shetani akimbie.
d. Angalieni, kuweni thabiti katika ,imani yenu, Mungu ,atakuzawadia
wewe.
(c ) Yakobo 4:7-8
(d) 1 Petro 5:8-10
(a) Waefeso 6:13
(b) Waefeso 4:22-27
10. Kwa nhyongeza katika kanuni za vita ya kiroho, Mungu
a,etupatia sisi silaha za kutumia katika vita. Soma katika
2 Wakorintho 10:3-5……
Ainisha kila silaha katika mistari ifuatayo ya Biblia:
2 Wakoritho 6:7…….. (Utakatifu)
Waefeso 6:17……… (Neno
la Mungu)
Zaburi 50:15……… (Maombi) |
Maombi ni silaha moja wapo ambayo ni ya muhimusana kwetu. Tunapoomba
Mungu anatusaidia. Maombi nji muhimu hata katika kukamilisha kazi
aliyotupatia Mungu. Kukataa maombi kunaleta kushindwa.
Tuna jua kabisa kuwa tupo katika upande wa ushindi, tukiwa na ushirika
mzuri na Yesu Kristo. Soma katika 1 Yohana 4:4…….
Tunapoisi maisha ya kumtii Mungu, na kukaa katika uwepo wake, maisha
ni matukio.hatujui nini kinatoke baadae. Mungu ana uwezo wa kuwapa
watoto wake Baraka a mbazo hawatarajii. Mungu anaanza na kile kinachomalizika,
anafanya makusudi kutucheelweshea vuitu vingine ni kwa sababu ili
tumjue yeye vyema zaidi
11. Fikiria au kumbuka jinsi maisha yalivyo badilika
tangu uliitwa mkristo.
a. Katika 2 Petro 3:18 inawaambia nini Wakristo
kitu cha kufanya?......
(Endelea kukua katika neema na maarifa ya Mungu)
b. Je tabia imebadirika ,kwa kiasi gani tangu umeanza kusoma
kuhusu Roho Mtakatifu?
12. Andika maombi ya kumsifu Mungu kwa kile a lichokizalisha
ndani ya maisha yako. Muombe Mungu kuendelea kukua katika
maeneo ambayo unafikiri yanahitaji maendeleo zaidi.
|
Kuna furaha kubwa sana ,ya kumjua Mungu. Kuna msamaha na wokovu
katika kumfahamu Yesu, amabye anatupa amani. Kuna ushindi na furaha
katika kuisi katika kutii Roho wa Mungu, amaye kazi yake ni kuendelea
kutusaidia sisi kama Yesu.
Soma katika Wagalatia 5:16……
Tumesoma kuhusu ukamilifu na utakatifu wa Mungu, na inawezekana
kabisa kujua haya mambo am bayo ni kuwa yana nguvu sana kwa kumwelezea
Mungu.tunaposhindwa kumjua Mungu zaidi na kiundani tunavyosoma,
kweli yote kubwa haiwezi kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Tunapobaki katika umolja nay eye, kuwa na Yesu ndani ya maisha
yetu kutafanya utofauti katika kila sehemu katika maisha yetu. Hatuwezi
kuwa vile vile kama tulivyokuwa a wali.
Atakuwa ni sehemu yetu katika maisha yetu, na tutamwelewa zaidi
kuhusu yeye zaidi ya tunavyomjua kwa sasa.
Tunapomwamini Mungu, kubaki ndani yake, na kumtii yeye tutajishusha
kwake, na mapenzi yake hayatakwisha kwetu sisi kuhusu yeye.
“nawe mpende Bwana Mungu wako,
kwa moyo wako wote, na kwa Roho yako yote na kwa nguvu zako zote”
Kumbu kumbu la torati 6:5.
Mungu anataka upendo wetu wote wwa kutoka moyoni.
MAOMBI
Baba yetu uliye juu mbinguni, asante kwa wema wako, mpaka sasa
tunataka kufanana na mwanao Yesu Kristo,asante Mungu uliyejuu mbinguni
kwa kuwa wewe baba hukati tama na sisi, lakini umetupatia Roho wako
Mtakatifu ili kutulinda na kutuongoza sisi. Endelea Mungu wangu
kutufanya kuwa karibu nawe, hata baada ya mafunzo haya kuisha. Katika
jina la Yesu, AMEN
|