home >>
stonecroft>>roho mtakatifut
Stonecroft - Roho Mtakatifut
Utangulizi
JE ROHO MTAKATIFU YUKO WAPI?
Wengi wangeu elezea ukristo kama uzoefu wa Mzunguko-maisha
yaliyojawa na mabonde, watue wanaofurahia kuwa na Mungu lakini wasioweza
kuepuka matokeo ya kukatishwa tama,kuwa chini na wakati mgunmu na
dhambi.
Jonathjan Edwards anayejulika kama mwanatheolojia
mkubwa wa Marekani,alisema mafanikio ya mkristo sio mara zote kuwa
katika hali nzuri ya juu, lakini ni ile hali ya kuwa na hakika kuwa
Mungu yupo nyumbani, shuleni, kazini, kanisani, na jamii ambayo
inafurahia kuwa wanaishi maisha ya kimungu.
Hilo ndilo jambo ambalo kujisomea biblia inaleta maana.tunataka
kuwa watu tunaojua kuwa roho mtakatifu yupo katika maisha yetu kila
siku, ingekuwa inawezekana kuishi maisha ya ukristo pasipo Roho
mtakatifu basi Mungu asingemtuma huyu Roho kwetu, ni nguvu zake
tu ambazo hutuwezesha kuishi maisha yasiyo legalega.
Hatumtumii Roho mtakatifu
bali Roho mtakatifu hututumia.
Je Roho mtakatifu yuko wapi? Anaishi na kutenda
kazi katika maisha ya wale ambao wako kwa Yesu.Bwana akusaidie kufurahia
uwepo wake.
Lucille Fern Sollenberger
JINSI YA KUJIFUNZA MASOMO
YA BIBLIA KATIKA STONECROFT.
Kwa sababu hii ni shule ya biblia, lengo letu kuu
ni kujifunza kile ambacho biblia inasema na jinsi gani tunaweza
kutumia katika maisha yetu. Kijitabu hiki na biblia ndivyo vitakuwa
vitabu vyetu ambavyo tutavitumia katika masomo yetu.
Inatakiwa tujiandae kwa somo kwa kumaliza maswali
katika vijitabu vyetu hivi vya awali. Hii itatusaidia katika majadiliano
yetu ya wiki kufanya kwa urahisi na kuelewa vizuri kuhusiana na
somo husika kwa wakati huo. Tutajifunza somo la kwanza sote kwa
pamoja.
Masomo yetu haya ya biblia yataanza katika muda muafaka
na yatachukua muda wa dakika 60 mpka 90. Tutaondoka pale ambapo
somo letu husika tunalolisoma litakapokuwa limefikia mwisho kwa
hiyo hatutaacha kitu tutamaliza.
Kwa sababu tunatoka katika mazingira tofauti tofauti
na (ukijumuishatunatoka katika makanisa tofauti tofauti) kwa hiyo
tutaheshimu mawazo ya kila mtu na imani yake.
Katika wiki chache, tungependa kuanza masomo mapya ya biblia katika
maeneo mapya na kwa watu wapya. Hebu fikiria mtu ambaye ungependa
umwalike katika masomo haya.
Katika kitabu chako cha kusoma.
Katika kila mwisho wa somo kuna maandishi yanasomeka
hivi “Vitu ninavyotaka kukumbuka kutoka katika somo”.
Kwa kuanza na somo la pili, mistari imependekezwa
kwa ajili ya kusoma kipindi cha wikendi. Hii itakiusaidia wewe kujiandaa
na somo husika.
Masomo mengine ya ziada ambayo yanaweza kukusaidia
yapo nyuma ya hiki kitatabu. Appendices inakupa taarifa nzuri sana
kuhusu tipiki ambazo zimeshasomwa katika masomo haya ya biblia.
Kwa hiyo hata hapa katika ukurasa huu ni sehemu ya kuweka rekodi
ya mambi yako. Kama ungependa katika kuweka nyongeza ya kusoma biblia,
kwa hiyo rekodi agano jipya itakusaidia kuweka kumbukumbu katika
zile sura ambazo umeshazisoma.
MBINU ZA KUKARIRI
1. Weka copy ya mstari unaotaka kukariri juu ya dawati,
au juu ya friji, au juu ya kioo au andika kwenye kompyuta yako .
2. Soma kwa sauti kubwa kila ukiona ile copy uliyoiweka sehemu husika
halafu jiulize inamaanisha nini.
3. Kariri mstari kwa maneno.
4. Weka picha akilini mwako ya kile ukisomacho.
5. Mshirikishe mwenzako yeyote mstari wa kukariri kwa kupitia email,
au message, au kwa kutumia barua.
6. Mpigie simu mwenzio kwenye kundi na urudie kile ulicho kariri
nay eye akirudie vivyo hivyo.
HUDUMA YA STONCROFT NI NINI?
Stoncroft ni shirika ambalo haliko chini ya kanisa
lolote lile. Ambapo maono makuu ya stonecroft ni kuwawezesha akina
mama ili waweze kufikia jamii kupitia injili ya Yesu Kristo. Maelfu
ya watu wanaojitolea na muda mwingi wakufunzi wanakuwa pamoja ili
kuwezesha huduma hii.
Stonecroft inabtoa huduma mbalimbali, ambazo zinawawezesha
wanawake kukutana pamoja kwa ajli ya Mungu, kushauriana na kwa ajili
nya jamii pia.
Kazi mbali mbali zinafanywa na wanawake ni zile za kijamii na masomo
ya kibiblia ya Stonecroft.
Soma zaidi kuhusu stone croft na jinsi unavyoweza
kuchangia kifedha tembelea katika tovuti yetu hii.
www.stonecroft.org
Below is the translated version
of 'Who is the Holy Spirit?' Stonecroft's Student Study Book in
Swahili, the English version of
Who is the Holy Spirit?
is available online from Stonecroft's
website.
This transforming study will reveal who Jesus
is, what He does, and what life is like when He lives within you.
Learn what the Holy Spirit does in the life of a Christian and how
He can help you grow to be more like Christ. (6 lessons)
|