Project Hope     home >> stonecroft>>roho mtakatifu yuko wapi?>>somo la kwanza (1)>> somo la pili (2)
Stonecroft - Roho Mtakatifu yuko wapi? - Somo la pili #2
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Kazi za Roho mtakatifu ni zipi?

Download Swahili Lesson #2 Student Studybook page 1-2

Download Swahili Lesson #2 Student Studybook page 3-4

Download Swahili Lesson #2 Bible Verse Handbook page 1-2

Download Swahili Lesson #2 Bible Verse Handbook page 3-4

Maombi
Mungu wetu mkuu,

Asante kwa kunipa Roho mtatifu baada ya kuokoka.

Nifumbue macho yangu nielewa ananisaidieje, kwa jina la Yesu,Amen.

Kujisomea Biblia kwa Juma

Soma vipengele vya biblia hapo chini na uandike vifungu ambavyo unaviona kuwa ni muhiumu sana kwako.

Yohana 3:1-13 _______________________________________________________________________

Yohana 3:14-21

_______________________________________________________________________

Matendo 1:1-11

_______________________________________________________________________

Matendo 2:1-13

_______________________________________________________________________

Matendo 2:14-21 _______________________________________________________________________

Matendo 2:36-42

_______________________________________________________________________

Roho wa Mungu katika agano la kale

1. Tunatambulishwa kwa Roho mtatifu katika mstari wa pili wa agano la kale. Anaitwa nani na lifanya nini? Mwanzo 1:2

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

2. Watu tofauti katika agano la kale walimpa Roho mtakatifu majina kutokana na kazi zake baada ya kila kifungu andika jinala Roho mtakatiufu na kazi aliyokuwa anaifanya

a. Ayubu 33:4
JIna:___________________________________
Kazi:__________________________________

b. Ezekiel 36:27
JIna:___________________________________
Kazi:___________________________________

c. Mika 3:8
JIna:___________________________________
Kazi:___________________________________

d. 2 Samweli 23:2
JIna:___________________________________
Kazi:___________________________________

Roho Mtakatifu katika agano la kale

Yeye ni Roho wa kweli
Hutufunulia nia ya Mungu.

Yeye ni Roho wa utakatifu
Hutufunulia usafi na utakaso wa Mungu.

Yeye ni Roho mwenye nguvu
Huwatia ngu awatakao.

Yeye ni Roho mwenye hekima
Hutufunulia kuwa Munguanayajua yote.

Yeye ni Roho wa ahadi
Hutufunulia wakati ujao.

Roho Mtakatifu katika agano jipya

Ufunuo mkubwa wa Roho mtakatifu unaonekana katiuka aganao jipya, Katika agano jipya Roho mtakatifu anaendeleza kazi aliyo kuwa nayo katika agano la kale. 4 Aliongea na watu kadhaa na kuwapa mwongozo, kuwawezesha kufanya kazi ambazo Mungu aliwawezesha kuzifanya, Kwa kuongera hapo katika agano jipya Roho mtakatifu hukaa na watu milele. Soma Yohana 14:16

Roho Mtakatifu katika maisha ya Kristo

3. Agano jipya linatuambia kuwa Roho mtakatifu alitenda kazi katika maisha ya Yesu, Oanisha vifungu vifuatavyo na kazi alizo zifanya Roho wa Mungu katika maisha ya Yesu.

Luka 4:16-18
Luka 4:1
Warumi 8:11
Matendo 1:1-2
Mathayo 1:18-20

a . Kuzaliwa kwa Yesu ni kwa uwezo wa Roho.
_________________________________________________

b. Yesu alijazwa na kuongozwa kwa Roho mtakatifu
_________________________________________________

c. Yesu alipakwa mafuta na Roho mtakatifu ili ahubiri, kuponya wagonjwa na vipofu, Kuwafungua na kuwajali wanao teseka.
______________________________________________

d. Yesu alifufuliwa kutoka wafu kwa nguvu ya Roho wa Mungu.

_______________________________________________

e. Baada ya ufufuo wake Yesu aliwapa maagizo wanafunzi wake kwa nguvu ya Mungu.
_______________________________________________

Kazi ya Roho Mtakatifu katika kuandika Biblia

4. Tuna ambiwa namna biblia ilivyo andikwa katika 2 Petro 1:21.

a. Yeye ndiye aliye wambia wandishi wandike nini.
_______________________________________________

b. Ujumbe ulitoka kwake.
_______________________________________________

Biblia ndio kitabu pekee ambacho mwandishi wake anakuwepo popote pale usomapo.

Roho Mtakatifu katika maisha yetu

5. Kila kifungu kifuaqtacho kinaelezea kazi ya Roho mtatifu katika wokovu.
Oanisha kazi hizo na andiko.

Wagalatia 3:27
Warumi 8:15
2 Wakorintho 3:18
1 Wakorintho 3:16-17
Yohana 6:63

a. Roho wa Mungu atupatiae uhai anaweza kutupa uzima wa kiroho.
________________________________________________

b . Roho wa Mungu ndani yako hukudhihirishia kuwa wewe ni Mwana wa Mungu.
________________________________________________

c. Baada ya kuokoka Roho mtakatifu hukupatia ubatizo ambao ni Muunganiko wako na Kristo.
________________________________________________

d. Roho wa Bwana aishie ndani yako hukufanya wewe kuwa hekalu la Mungu.
________________________________________________

e. Roho wa Bwana hubadirisha maisha yetu ili tuwe na utukufu wa Bwana.
________________________________________________

6. Chagua eneo katika maisha yako ambalo unaona unahitaji mwongozo wa Roho mtakatifu. Elezea hitaji lako na alafu muombe Roho matakatifu akupe mwongozo.

________________________________________________

This is a translation of 'Who is the Holy Spirit?' Stonecroft's Student Study Book Lesson #2 in Swahili, the English version of Who is the Holy Spirit? is available online from Stonecroft's website.

This transforming study will reveal who Jesus is, what He does, and what life is like when He lives within you. Learn what the Holy Spirit does in the life of a Christian and how He can help you grow to be more like Christ. (6 lessons)

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Download Swahili Lesson #2 Swahili Guidebook

Download Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #2

Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us