home >>
stonecroft>>
mwongozo >>
somo 1 >> mistari ya biblia
Mistari ya Biblia - Somo #1
MUNGU ANA MWONEKANO GANI?
MUNGU YUPO
Mistari ya Biblia
Swali #1
Waebrania 11: 6
6 Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu
anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo
wale wanaomtafuta kwa bidii.
Swali #2
Nehemia 9:6
‘’Wewe ndiwe BWANA wewe peke yako,wewe ulifanyanya mbingu,mbingu
za mbingu pamoja na jeshi lake lote,dunia na vyote vilivyomo bahali
na vyote vilivyomo,nawe unavihifadhi vitu vyote hivi na jeshi la
mbinguni linakusujudu wewe” Neno utakalo liona limeandikwa
BWANA katika helufi kubwa hasa usomapo kitabu cha agano la akle
hapo tambua kuwa wanamzungumzia Mungu. Jeshi la mbinguni ni malaika
wa mbinguni.
Wakolosai 1:15-16
15 Kristo anafanana kabisa na Mungu asiyeonekana. Yeye ali kuwepo
kabla Mungu hajaumba kitu cho chote. 16 Yeye ndiye ali yeumba vitu
vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana;
kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka:
vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake.
Swali #3
Zaburi 102:12.25-27
Bali wewe BWANA utaketi ukimiliki milele na kumbu kumbu lako kizazi
hata kizaz.i
Hapo mwanzo uliutia msingi wan chi na mbingu ni kazi za moikono
yako.
Hizi zitaaribika bali wewe utadumu naam hizi zitachakaa kama nguo,
Neno utakalo liona limeandikwa BWANA katika helufi kubwa hasa usomapo
kitabu cha agano la akle hapo tambua kuwa wanamzungumzia Mungu.
Jeshi la mbinguni ni malaika wa mbinguni, na kama mavazi utazibadirisha
nazo zitabadirika.
Bali wewe u wewe Yule na miaka yako haitakoma.
Swali #4
Isaya 44:6
BWANA wa majeshoi asema hivi,mimi ni wa kwanza na mimi ni wa mwisho
zaidi yangu hakuna mwingine.
Isaya 45:5
Mimi ni BWANA wala zaidi yangu mimi hapana Mungungu mweingine, nitakufunga
mshipi ijapokuwa haukunijua.
Swali #5
Micah 5:2
2 “But you, Bethlehem Ephrathah,
though you are small among the clans of Judah,
out of you will come for me
one who will be ruler over Israel,
whose origins are from of old,
from ancient times.”
Mathayo 2:4-6
4 Herode akaitisha mkutano wa makuhani wakuu na waandishi, akawataka
wamweleze mahali ambapo Kristo angezaliwa.
5 Wakamjibu, “Atazaliwa Betlehemu ya Yudea, kwa maana nabii
aliandika hivi kuhusu jambo hili: 6 ‘Nawe Betlehemu, katika
nchi ya Yuda, wewe si wa mwisho miongoni mwa watawala wa Yuda; kwa
maana atatoka mtawala kwako atakayetawala watu wangu Israeli.
Swali #6
Psalm 22:18
18 They divide my clothes among them
and cast lots for my garment.
Yohana 19:23-24
23 Maaskari walipokwisha msulubisha Yesu, walichukua mavazi yake
wakayagawa mafungu manne; kila askari akapata moja. Ila wal ikubaliana
wasipasue ile kanzu yake kwa maana ilikuwa imefumwa tangu juu hadi
chini na haikukatwa mahali po pote. 24 Wakaam biana, “Tusiipasue
ila tupige kura tuone ni nani aichukue.” Hii ilitimiza yale
Maandiko yaliyosema, “Waligawana mavazi yangu, na kanzu yangu
wakaipigia kura.”
Swali #7
Luka 24:27, 44
27 Akawafafanulia maandiko yalivyosema kumhusu yeye, akianzia na
maandiko ya Musa na kupitia maandiko yote ya manabii.
44 Akawaambia, “Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa
pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika she
ria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Swali #8
2 Timotheo 3:16 - 17
16 Andiko zima lina pumzi ya Mungu nalo lafaa kwa mafundisho, kwa
kuwaonya watu makosa yao, kuwaongoza na kuwafundisha katika haki
17 ili mtu wa Mungu awe kamili akiwa na nyenzo zote za kutenda kila
jambo jema.
|