home >>
stonecroft>> je
mungu yokoje? >> somo 1
Je Mungu yokoje? - Somo #1
Mungu ni
Mungu amekuwapo mara zote na
atakuwepo mara zote uwepo wake na umilele
wake ni imara sana na unadhihilishwa katika neno MUNGU.
Mwezezi Mungu, mara zote yeye ni Mungu,
ajuae mambo yote, na yupo hapa,
na atakuwepo hapa mara zote amaana Mungu ni
‘’Lakini Pasipo imani haiwezekani
kumpendeza Mungu,
maana mtu amwendea Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko,
Na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao”
Waebrania 11:6
Mungu ni muumba
1 Waebrania 11:6 Ni
neno gani linatumika kuelezea kuwa MUngu ni nani?
Mungu ni Muumba
Kabala ya muda hauja anza.hakukuwa kitu ila Mungu
litawala katika utukufu wake, dunia haikuwepo, hakukuwa hua,hakukuwa
mwezi, na hata nyota,hakukuwapo kitu, lakini baada ya Mungu
kuongea vitu vikaanza kujitokeza, alitengeneza vitu kutoka katika
visivyoonekana, Mungu ni muumbaji wa kila kitu. |
2. Soma vifungu vifuatavyo elezea ukweli unaoelezwa katika vufungu
hivyo kwa maelezo yako
Nehemia 9:6
Wakolosai 1:15-16
Ukweli unao elezwa katika maeneo haya ni.
Mungu ni wa milele
Maneno mawili yanatuambia kuwa Mungu ni wa milele, neno milele
ni gumu kulielewa maana tunaishi katika kipindi cha muda. [saa]
Sisi ni wa fungwa wa muda muda tuliozaliwa ulidukuliwa, kuna muda
amabao tutakufa, kila tunachokifanya katika maisha haya, kuanzia
mwanzo hadi mwisho vinapimwa katika muda—
Miaka, siku, saa, na dakika, muda wote tuakuwa na hisia ya muda,
na ndio maana ni vigumu kwetu kuelewa umilele.
3. Soma maandiko haya na elezea ukweli uliomo humo kwa maneno yako
mwenyewe.
Zaburi 102:12, 25-27
MUngu hana muda hakuwahi kuwa na mwanzo na hata wahi kuwa na mwisho,
anaishi katika umilele, hii ni njia nyingine ya kuelezea kuwa anaishi
katika kipindi kisicho na muda.
Tunaishi katika tensi tatu, wakati uliopo, uliopita na ujao, tumeishi
wakati uliopita, tunaishi katika wakati uliopo, na tutaishi katika
wakati ujao, yeye anaishi katika wakati huu usio na mwisho.
Ni Mungu mmoja pekee
4. Soma vifungu vifungu vifuatavyo na ujuibu maswari. Je unaamini
ya kwamba kuna Mungu mmoja? Toa sababu ya majibu yako.
Isaya 44:6
Isaya 45:5 3
Je Biblia inasema ukweri?
Baadhi ya vitabu viliandikwa na manabii, hawa ni watu walioongea
neneo la Mungu kwa watu, walitabiri mambo ya nyakati zijazo kabla
hayajatukia.
Lengo la unabii ni kutufahamisha kuwa Mungu yupo na ana mipango
na dunia hii na kila mmoja wetu, kwa kutoa unabii juu ya watu, maeneo,
na matukio miaka mamia kabla hayajatukia, Mungu anatupa ufahamu
wa mipango yake na nini kitakacho tokea hapo baadae,labla tukio
la ule unabii kutumia lina msingi mkubwa sana katika mjadala mzima
wa unabii.
5. Tunaweza tuka ijaribu biblia kwa kuangalia kama unabii unatimia
ama la.
Nabii Mika alitabiri kuzaliwa kwa Yesu na eneo miaka 700 kabla
ya tukio.
Mika 5:2
‘’Bali wewe Bethlehem efrata
uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda
kutoka kwako wewe atanitokea mmoja
atakaye kuwa mtawalakatika Israel,
ambaye yeye matokea yake yamekuwa tangu zamani za kale,
tangu milele.’’
Huu unabii ulitimia, soma Mathayo 2:4-6.
Yesu alikuwa azaliwe wapi?
Maria aliishi katika mji wa kaskazini mwa Palestina huko Nazare
katika kipindi kingi cha muda wa mimba yake. Bethlehem ilikuwa upande
wa kusisni mwa palestina, hata hivyo serikali ya warumi iliamulu
sense ifanyike kwa ajili ya kulipa ushuru.kila mmoja alitakiuwa
kurudi alikozaliwa ili asajiliwe, Yusufu na Maria walikuwa ni watu
wa familia ya kifalme ya mfalme Daudi amabaye alitokea Bethlehem.
[1 Samweli 16:1] Maandiko yalitimia kwa sababu Yesu alizaliwa wakati
walipokuwa Bethlehem sio Nazaleti. Ni Mungu pekee ambaye angeweza
kufanya mabo yote haya kwa wakati muafaka.
Ni Mungu pekee ambaye angeweza kufanya hayo.
(If you do not have a
Bible, look up the verses in the Bible Verse Handbook)
Download Bible Verses Handbook
6. Daudi alizungumzia mambo mengi kuhusu kusurubiwa
katika Zaburi ambayo aliandika
Miaka elfu kabla ya Kristo.
Kwa mfano Soma
Zaburi 22:18 |
Wanagawana nguo zangu, na vazi langu wanalipigia
kura. Tunaambiwa juu ya kutimia kwa unabii katika Yohana
19:23-24 |
Je wanajeshi walifanya nini?
Huu unabii ulitimia kwa wanajeshi wakirumi ambao walikuwa hawajui
hata unabii wa kiyahudi.hawakuweza hata kufikilia kuwa mtu walio
msurubisha yuko katika unabii.Mungu ndiye aliye sababisha huo unabii
na ndiye aliwezesha huo unabii kutimia pia.
7. Andika kwa kifupi jinsi Yesu alivyosema kuhusu agano la kale.
Luka 24:27,44.
8. 2 Timotheo 3:16 inazungumziaje juu ya uvuvio wa neno la Mungu
___________________________________________________________
9. Je Maelezo ya kuhusu Mungu ni—yana maanisha kitu gani
tangu ulivyo anaza kujisomea haya mafunzo?
___________________________________________________________
MAOMBI
Mwenyezi Mungu nimeanza kuelewa ni u Mungu mkuu namana gani.
Nisaidie kuelewa hilo, ingawaje u mkuu kuliko uelewa wangu lakini
unataka nikuelewe. Endelea kunifundisha na kunisaidia ukweli nilio
usoma leo hii.
Naomba haya katika jina la Yesu.
Amen
This is a translation of Lesson #1 Students
Study Book, the English version of -
What is God like
is available online from the Stonecroft website.
The Guide has her own Guidebook to help her
lead and guide the lesson.
View Guidebook online
Download
Swahili Full Guidebook
Download
Swahili Lesson #1 Guidebook Introduction
Download
Swahili Lesson #1 Guidebook
Download
Swahili Guidebook Bible Verses Lesson#1 |