Project Hope     home >>vijana wa stonecroft>> mwongozo
Vijana wa Stonecroft - Mwongozo
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Mwongozo Utakaotuongoza


UTANGULIZI
JE MUNGU YUKOJE?
Je umewahi kujiuliza au kushangaa

Biblia inatuambia kuwa Mungu alikuwako amekuwako na atakuwako, yeye ni muumbaji wa kila kitu na ni mtunzaji wa uhai wote. Mungu ni Roho na mwenye nguvu, mtakatifu na mwaminifu.

Sifa za Mungu zisizo na kipimo au kiwango ni zaidi ya vile tunavyoweza kufikiri kwa upeo wetu mdogo, lakini ni rahisi kujua habari za kumhusu Mungu pasipo kumjua, je unamjua Mungu? Maana kumjua Mungu ndio msingi muhimu wa maisha, tuliumbwa ili tumjue na kumpa yeye utukufu, tunajidanganya iwapo tunataka kuishi maisha yasiyo kuwa na Mungu ndani yake.

Mungu akubariki ambapo kwa kuomba unajisomea masomo haya na tunatarajia utamjua Yesu ki ubinafsi

Mungu akubariki unapoendelea kusoma masomo haya.
Maana BWANA aliyeziumba mbingu asema hivi
Yeye ni Mungu ndiye aliumba dunia na kuifanya
Ndiye aliye ifanya imara hakuimba ukiwa
Aliiumba ili ikaliwe na watu,
mimi ni BWANA wala hapana mwingine.

Isaya 45:18


Lucille Fern Sollenberger


Stoncroft ni shirika ambalo haliko chini ya kanisa lolote lile. Ambapo maono makuu ya stonecroft ni kuwawezesha akina mama ili waweze kufikia jamii kupitia injili ya Yesu kristo. Maelfu ya watu wanaojitolea na muda mwingi wakufunzi wanakuwa pamoja ili kuwezesha huduma hii.

Stonecroft inabtoa huduma mbalimbali, ambazo zinawawezesha wanawake kukutana pamoja kwa ajli ya Mungu, kushauriana na kwa ajili nya jamii pia.

Kazi mbali mbali zinafanywa na wanawake ni zile za kijamii na masomo ya kiBiblia ya stone croft.

Soma zaidi kuhusu stone croft na jinsi unavyoweza kuchangia kifedha tembelea katika tovuti yetu hii. www.stonecroft.org.

Marekebisho Toleo.
Lucille Sollenberger. B.S., M. A.


Stonecroft Ministries
www.stonecroft.org
P.O.Box 9609, Kancas City, MO 64134-0609

 
     
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us