home>> mwongozo >> somo 4 >> somo 5
Mwongozo Somo #5
MUNGU ANA MWONEKANO GANI?
Marekebisho Toleo.
Lucille Sollenberger. B.S., M. A.
SOMO LA TANO (5)
NANI ANAWEZA KUMJUA MUNGU?
Stonecroft Ministries
www.stonecroft.org
P.O.Box 9609, Kancas City, MO 64134-0609
SOMO LA TANO (5)
NANI ANAWEZA KUMJUA MUNGU?
LENGO LA SOMO
• Kuelewa umuhimu wa kuzaliwa upya.
• Kuwa na nafasi ya kumpokea Yesu kama mwokozi wa maisha yetu.
Somo hili linatupa nafasi ya kumpokea Yesu kristo kuwa bwana na
mwokozi kaytika maisha yetu. Inatakiwa kuwa na hili swali la msingi
kuwa jwe unaamini? Jarada zinaweza kugawiwa kwa wale wote ambao
wanataka kujua zaidi kuhusu wokovu wao, na kutajua jinsi ya kuwa
wakristo. Soma pamoja nao, wape nafasi ya kuomba. Hii itasaidia
hata wale ambao wana mashaka kuhusu wokovu wao.
MAOMBI
Mungu mwenyezi, tunataka kusoma zaidi kuhusu wewe. Tusaidie kuelewa
vitu tunavyovisoma, tunajua ukweli kuwa wewe ni Mungu ambaye upo
juu sana hata juu ya uumbaji wako, lakini bado unatgaka kuwana ushirika
na sisi. Tunaomba katika jina ola Yesu kristo ……..AMEN
MAONI YA UONGOZI
Kuna somo moja tu lililobakia katika mafunzo haya, na tumeshaanza
kusona kuwa Mungu ni nani, na yukoje, au anaonekanaje? Mung ni mkuu
kuliko vile ambavyo tunaweza kufikiria. Maisha yetu yote, tutaendelea
kuyaona na kujifunza maajabu ya Mungu.
Kwa haraka haraka tu jibu swali lifuatalo ambalo linahusisha kile
tulichojifunza.
Tunajuaje kuwa kuna Mungu anayeishi?...........(Jadiliana).
Biblia inasema kuwa , Mungu yupo, na atakuwepo na ataendelea kuwepo..
uumbaji wote munatuambia kuwa Mungu anaishi na yupoi. Roho ,zetu
pia nazo zinathibitisha hili kwa maana yeye anatupenda, ni mwaminifu
na tuko pamoja nay eye katika maisha yetu.
Mungu yuko wapi?...... (Jadiliana)
Mungu yuko kila mahali. Amajijaza katika dunia, mbinguyni, na hata
katika kila eneo. Yeye ni zaidi ya kila kitui kwani yeye kaumba
kila kitu.
Ukiulizwa kwamaba kwa nini kuna Mungu mmoja , mtoto alitoa jibu
hili. "Kwa sababu Mungu amejijaza karibia katika kilka eneo
kwa hiyo hakuna eneo la mtu mwingine tena."
Tunajuaje kuwa Mungu anataka sana sisi tumfahamu yeye.?.......
(Jadiliana)
Mungu ametuambia sisi katika kitabu kuhusu yeye mwenyewe, (Biblia).
Tangu Mwanzo Mungu amakuwa akijhifunua jiunmsi alivyoi kama mwanadamu.
Mungu ameoonyesha upendo wake na huruma zake kwetu kwa njia tofauti
tofauti katika maisha yetu. Hata hivyo bado tunashindwa kutambua
kuwa mambo yanatokea kama ilivuyyopangwa kwa kuwa Mungu anafanya
kazi kwa ajili yetu.
Tumeshajiifunza kuhusiana na asili na sifa za Mungu. Lakini tunatambua
kuwa kumfahamu Mungu iko nje ya uwezo wetu na uelewa wetu.
Mungu hatarajii kuona tunajua kila kitu kuhusu yeye, lakini
anataka kilka mtu ajue mambo ya muhimu yafuatayo.
• Mungu ni Mungu mmoja tu. Ambaye yupo katika sehemu
tatu. Mungu baba, Yesu Kristo, ( Mwana wake), na Roho Mtyakatifu.
• Mungu baba ni Roho ya uungu.
• Yesu kristo alikujaduniani na alivaa ubinadamu kama
binadamu wengine.
• Kama mwanadamu aliishi maisha matakatifu.
• Alikufa msalabani, alizikwa, na akafufuka kutoka kwa
wafu.
• Baada ya ufufuo wake, alirudi tena mbinguni katika
mwili wake wa utakatifu.
• Mungu Roho mtakatifu yeye haonekani kwa macho, lakini
yuko pamoja nasi. |
To know a lot about God is not knowing
Him. What does Yeremian 29:13 say
is the way to gain a deeper knowledge of God?....(search with
all your heart)
If a person's idea of God is shallow, the
person's life is shallow. If his attitude about God is deep, his
Christian life is deep.
Our lesson asks the question, "Who can
know God?" And again, we find the answer in our Bible readings.
KUJISOMEA BIBLIA KWA JUMA
(Use your Bible or Africa Bible Verse
Handbook) Kila siku katika wiki hii, soma kifungu cha
Biblia kwa siku na uweze kujibu maswali.
Yohana 14:21-23
Mungu atajionesha mwenyewe kwa nani?......
(Kwa wale wnaomytii yeye)
Warumi 5:6-9
Kwa nini Yesu alikufa kwa ajili yetu wakati smisi tulikuwa
watenda dhambi?.......
(Kwa sababu anatupenda sana sisi)
1 Timotheo 2:1-6
Yesu anataka watu gani waokolewe?.........
(Kila mtu, au watu wote)
Yakobo 4:7-10
Ni kanuni mgani za kufuata ili Mungu aje awe karibu na sisi?.......
(Jitoe kwa Mungu, jitakase, kuwa msafi, na tujishjushe
kwake. Tumsogelee Mungu na tuwe karibu naya atatrukaribia
sisi)
2 Peter 3:9
Why is God delaying the day of judgement?....(He doesn't
want anyone to be destroyed, but for all to turn away from
thier sin and know Him)
Waebrania 11:6
Unappokuja kwa Mungu, kw anini inatakiwa uwe na imani ya kuamini?.......
(Kwamba anaishi and kuwazawadia wale wote wamtafutao)
Waebrania 11:27-30
Nani anatakiwa kumwalika Mungukumja ndani yake?.......
(Kwa mtu yeyotwe aliye tayari na mabaye am, echoka kuishi
maisha ya matatizo N.K)
• Chagua mstari ambao unaona kwako una maana sana kutoka
katika mistari iliyosomwa katika wiki hii. Jiulize mstari
huo ulivyo na maana kwako wewe kama wewe na utumie katika
maisha yako. |
Ni mstari gani ambao ulikua wa maana sana kwako?....... Je uliathirir
wiki yako? Tuambie nini ambacho kilitokea……
1. Biblia inasemaje kuhusu mtu jinsi ya kiumjua Mungu?
Zaburi 46:10………
(Munche Mungu aitwe Mungu)
Zaburi 145:18-19………
Muite Mungu katika mahitaji yako, lakini uwe na mtazamo chanya.
Hii ni ahadi nzuri sana. (Mungu anasema kuwa atakusikia
wewe)
Isaya 55:3……….
(Sikiliza sauti yake na uweze kuja kwake)
Waebrania 10:22……..
(Kuwa karibu naye, osha mikono yako na jitakase moyo wako) |
Maarifa ya Mungu hayaji tu kwa ajili ya kujifunza na kufanyia utafiti
hapana bali kutoka mkatika experience na muda wa kuishi na ropho
w aMungu. Lakini kam,a hatuna kristo katika maisha yetu , hatuwezi
kuelewa mambo ya Roho.
2. Yesu aliwaambia wanafunzi wake jinsi gani ambavyo wanatakiwa
kumjua mumngu.
Soma katika Yohana 14:6-7……….
Na uelezee nini ambacho aliwaambia.
(Njia ya kumjua Mungu ni kummjua kristo). |
Yesu alikuwa anawaambia kuwa yeye ni njia ya kumjua Mungu nan i
njia pia ya kwenda kwa Mungu, mna pia ni njia jya kwenda kwa Mungu.
Ni jnjia pekee amabyio ,itatupeleka katika maishaya milele. Tunaweza
kumfuata yeye na kujua kuwa yeye atatuonyesha njia sahihi.
Yesu aliposema kuwa yeye ni njia, tena ya kweli, alikua anamaanisha
yeye ni Mungu wa kweli. Tukisnha mjua Yesu tyayari tunakuwa tumemjua
Mungu na jinsi alivyo kwa sababu yeye kristo ni mwakilishi wa Mungu
asiyeonekana.
Mungu ni nuru, soma katika 1 Yohana 1:5….. Tunapokuwa
bila Mungu ina maana ya kwamba hatuna Mungu tena na tuko gizani.
Kiasili skisi wote tuna dhambi ambayo tunazaliwa nayo..na sasa tunataka
kumnfukia Mungu amabye ni mtakatifu aliyetuumba sisi.
Tumepungukiwa na utukufu hatuwezi maana tumekufa kiroho (Waefeso
2:1)
Kwa hiyo mpaka kufikia hapo ttunahitaji msaada mwingine wa ziada
katika swala znima la kumwelekea Mungu. Ambaye ni mkamilifu.
Mungu anajua kuwa sisi ni wenye dhambi. Anajua kabisa kuwa
hatuwezi kujiokoa sisi kama sisi tu peke yetu kutoka katika
dhambi.
Warumi 3:20:24, inatttumbia jinsi ya kuw
ahuru…..
Nenio kuamini lina maana kubwa sana kuliko hata kujua tu
kwamba Yesu ni mwana wa Mungu. Ambaye alikufa kwa ajili yetu.
Kuamini maana yake ni kuweka imani yako yote kwa Mungu, na
kutubu dhambi zako.
Kutubu maana yake ni kubadili mwelekeo ambaioo ulikua unaenda
na kuwa na mwelekeo mwingine. Maana yake ni kubadilika, na
kumfuata Yesu, amabpo huwezi kwenda peke yako mpaka awepo
Yesu. |
Kutubu maana yakme ni kubadilika na kuanza kufuata njia za Mungu
na kuziacha zile njia mbaya.
Mungu anasema nini kuhusu kifo na kuishi katika Ezekielei
18:32?.......
Mungu anataka sisi kuishi na sio kufa. Anatuambia sisi kuhusu kutubu
ili tusife. Badala yake tutaishi milelel nay eye.
Watu wengi wanafa ya makosa kwa kumpe[pelea Mungu kwa kuwa wema
tu. Wanajitahidi kufanya m,azuri ili mabaya yasiwe mengi sana.
Huo sio mwelekeo mzuri. Mtu kama mtu hawezi kujipatia nafasi yeye
peke yaka katika kujigtengenezea njia nyingine ya mkuingia mbinguni.
Soma katika Watrumi 3:23…… na katjka
Matendo ya mitume 4:12…..
Lazima tutambue hatuwezi kwenda mbinguni kwa nguvu zetu wenyewe.
Jibu la Kwenda mbingu Mungu alishatupatia,lazima tumwamini Yesu,
kifo na ufufuo wake.
Umepokea zawadi ya mwokovu ya Mungu?
Kama huna Yesu kristo maishanio mwako, zungumza na Mungu
katika maombi, tubu au kiri, dhambi zako, na umwombe Mungu
kukusamehe wewe na akupe maisha mya milele.
Mungu atakusamehe wewe kwa sababu msamaha na maisha ya milele
ni zawadi anazotaka kukupa wewe. Hustahli hizi zawadi lakini
kinachotakiwa ni kuamini kuwa umepata.
3. Soma mistari ifuatayo, nini ufanya ili upate vipawa au
zawadi ya Mungu?..........
Yohan a 6:29…… (Amini katika
kristo)
Yohana 5:24……. (Amini anacoamini
Mungu, na upokee kipawa cha milele! Pale unapoamini umepata) |
Soma katioka 1 Yohana 5:10-12.
4. Mungu alimwambia mtu kwamba inatakiwa aokoke.
Soma Yohana 3:1-8, kuana kile ambacho miungu
alisema kuhusu kuokoka ili kuwa katika familia ya m,jungu………….
Andikka tarehe amabyo ulimwamini Yesu kriusto. Na kumpoke
a kwa bwana nba mwokozi wa maisha yako.
_______________________________________________ |
Waulize washiriki muda walio mpokea Yesu katika maisha yao kuwa
Bwana na mwokozi wao.na hili limewabadilishaje.kama hayupo wa kufanya
hivyo basi sema wewe kwa kifupi.
5. Ulipoomba, kumwomba Yesu kristo kui gia ndani ya maisha
yako, kuna mambo mengi ya ajabu yalitokea. Andika batraka
ambazo mistari ifuatayo ya Biblia imezieleza sana.
a. Yohana 3:36……
(Uzima wa millele)
b. Yohana 16:24……
(Maombi yaliyojibiwa yanaleta furaha)
c. Warumi 4:7-8……
(Kusamehewa dhambi )
d. Warumi , 5:1……
(Tuklo pamoja na Mungu, na tuna amani na Mungu)
e. 2 Wakorintho 5:17……
(Wewe ni mtu mpya na Mwanzo mpya)
f. Waefeso 1:13……
(Umepewa Roho mtakatifu, kuishi na wewe)
g. Waebrania 13:5……
(Mungu hatakuacha wewe) |
Tunapompokea Yesu kristo, Mungu anatupa sisi maisha ya milele.
Maisha yetu mapya yapo kwa mwanawe, Yesu. Kwa sasa ni watoto wa
Mungu ndani ya baba.tumeshazaliwa katrika familia takatifu.
Muumbaji wetu amekuwa,"mzazi wetu thabiti.
Mwaminifu katika upendo na kutulinda.
Anafurahishwa na kila tunachokifanya.
Anatuheshim u sana.
Anatufundisha kwa ,mbinu mbali mbali zenye ujuzi mkubwa sana.
Ni mlinzi wetu.
Mara zote anapatikana...."
Mungu ametuchagua sisi, ili tuwe watoto wake, na ametupatia haki
zot. Mungu a mekuchagua wewe. Soma katika Waefeso 1:3-6……
Je tunaheshimu nafasi tukliyonayo., kama watoto wa Mungu?
Je tumemshukuru jkwa kutuchagua sisi?
Mungu sasa ni baba yetu wa mbvinguni, tunalonyesha sasa kuwa tunampenda
sana yeye kwa kutii na kuendelea kunyenyekea mbele zake, katika
kila jambo tulifanyalo.
We not only have a new relationship with
God as our Father, but we have a new relationship with the rest
of the world. Every believer is either our brother or sister and
everyone else is an individual God wants in His family. We are to
share our faith with them as obedient children of God.
We have established thefact that God is the
Creator. He is eternal - He always was and always will be. He has
all power. He came to earth as a man and is now in heaven.
Mungu alitoa wokovu kupitia Yesu kristo. Kifo cha Yesu pale msalabamni
kiliondoa makosa yuetiu yote tuliyokuwa nayo, nna kutufanya kuwa
huru zaidi. Mungu alifanya ,hili kwa kubadilishana.
Soma katika 2 Wakorintho 5:21 kutambua mbadilishano.
21” Mungu alimfanya yeye ambaye hakujua dhambi, awe dhambi
kwa ajili yetu ili ndani yake tupate kuwa haki ya Mungu.”
Mbadilishano ulikuwa?...... . (Dhambi zetu na utakatifu wake)
Yesu krisjto yeye hakuwa na dhambi. Lakini alichukua dhambio zetu
na kutufanya sisi kusamehewa kupitia yueye. Kachukua dhambio zetui
na sisis akatupa utakatifu.
Sasa katika uso wa Mungu tuna utakatifu, wema, na usafi wa Yesu
kristo. Tunajua kuwa hatuna hizo tabiasisi kama sisi. Lakini Mungu
anatuaona katioka kristo.Kwa sababu yah uu mbadilishano.
Sisi tupo ndani ya kristo, na mugu anapotuangalia sisi, anatuona
katika utakatifu wa Yesu kristo. Mungu alitupa kristo pale tunaamini.
Soma Wafilipi 3:8-9…… Unaona ni zawadi
gani kubwa ya namna hii Mungu aliyotupatia.
Kuna wakti mwingine maombi ni mtu binafsi lakini kuna wakati ambao
tunataka sana kushirikiana Baraka na watu wengine. Kama ungependa
kushirikisha maombi yako na sisi, kuna muda bado unaeza ukasema
ili tusikie kabla hatujagitimisjha.
6. Andika maombi yako kwa Mungu kwa kuelezea uwepo wake ambao
ni endelevu. Kumbuka kuwa haya maombi hayatashirikishwa katika
kundi. Kwa hiyo andika maombi yako hapa:
|
MAOMBI
Baba uliye juu mbinguni asante kwa zawadi hii ya wokovu. Asante
kwa kuifanikisha na inayotuwezesha kupata Baraka ambazo unazo kwa
ajili ya wartoto wako. Tunapo jifunza somo la mwisho, tusaidie kujifunza
kuwa karibu na kukusifu wewe. Tunaomba katika jina la Yesu…………AMEN
This is a translation of 'What is God like?'
Stonecroft's Guide Book Lesson #5 in Swahili, the English version
of
What is God like? is
available online from Stonecroft's website.
In this fresh, engaging study, you will meet
the Creator of life and the Sustainer of all things. As you study
God's eternal characteristics, you will learn that He is majestic,
all-powerful, holy, faithful, and just.
As you explore together what the Bible tells
us about God, you'll also learn how to decide for yourself who He
is and how He interacts with people. (6 lessons)
The Guide has her own Guidebook to help her
lead and guide the lesson.
Download
Swahili Lesson #5 Guidebook
Download
Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #5
|