home >>
stonecroft>> je
mungu yokoje? >>
somo 2 >> somo 3
Je Mungu yokoje? - Somo #3
Zaburi 34:18
Je MUngu anakuwa wapi pindi umuitapo.
______________________________________________________________
Zaburi 103:19
Je kiti cha enzi cha MUngu kipo wapi?
_____________________________________________________________
Zaburi 145:18
Je andiko hili linatuambia nini kumhusu Mungu.
_____________________________________________________________
Isaya 37:16
Andiko hili linasema MUngu anaishi wapi?
_____________________________________________________________
Isaya 40:22
Andiko hili linatuambia kuwa Mungu yupo wapi?
_____________________________________________________________
Isaya 43:2
Je Mungu anakuwa wapi pindi tuwapo katika matatizo?
____________________________________________________________
Yeremia 23:23
Andiko linatuambia kuwa MUngu anakuwa wapi mara zote.
_____________________________________________________________
• Chagua andiko moja ambalo umejisomea
katika juma unaloona linaleta maana zaidi katika kipindi hiki,
tafakari juu ya ukweli huo na utumie katika maisha yako.
1.Mungu anaishi wapi? 1 Timotheo 6:16
|
Hakuna awezaye kumsogelea Mungu kwa sababu ya Mng'ao wake na utakatifu
ulio pindukia, katika uwepo wa Mungu hatuwezi tuka wa huru kwani
tutajishi ni wenye dhambi, kwa kuwa Mungu anajua kuwa hatuwezi kuvumuilia
Mng’ao wake ambao ni mkali sana, anajifunua kwetu katika njia
ambayo tunaweza tuka muelewa, kwa mfani majina yake hudhihilisha
tabia na vile jinsi alivyo,tunajifunza namna ya kumsogelea kupitia
kitabu alicho kiandika mwenyewe.---Biblia.
2. Biblia inasema MUngu haishi wapi?
a. Matendo 17:24-25
|
b. 1 Wafalme 8:27
__________________________________________________________________
3. Ikiwa Mungu anaishi katika mwanga ambao hakua awezaye kuusogelea
na
haishi katika mahekalu au majengo. 1 Yohana 4:12 Inazungu mzia kuwa
anaishi wapi?
__________________________________________________________________
4.Elezea muda au nyakati amabazo ulihisi kuwa Mungu yuko katika
maisha yako
Au amabapo ulihisi kuwa Mungu anakutembelea katika maisha yako na
kufany
Jambo furani, ujumuishe na mwitikio wako katika hali hiyo ulio iona.
___________________________________________________________________
5. Je swala la kuwa Mungu yupo mahali popote linakutiaje nguvu
uwapo katika matatizo?
____________________________________________________________________
6. Maandiko yafuatayo yanatoa hakikisho la uwepo wa Mungu, uyasome
na kuyakalili,
ili yaje yakusaidie au kumsadia yeyote ambaye yuko katika matatizo.
____________________________________________________________________
Mungu pamoja nasi
Kutoka 33:4
Na akasema ” Uwepo wangu utaambatana nanyi name ntawapa pumziko.”
Zaburi 16:11
Utanijulisha njia za uzima;
Mbele za uso wako ziko fuiraha tele;
Na katika mkono wako wa kume mna mema ya milele.
Zaburi 21:6
Maana umemfanya kuwa Baraka za milele;
Maana wamfurahisha kwa furaha za uso wako.
Zaburi 31:20
Utawasitili na fitina za watu
Katika sitara ya kuwapo kwako;
Utawaficha katikia hema
na mashindano ya ndimi.
Zaburi 46:1
Mungu kwetu sisi ni kimbilia la karibu,
Msaada utakao onekana tele wakati wa mateso.
Zaburi 89:15
Heri watu wale waijuao sauti ya shange,
Ee BWANA huenenda katika sauti ya uso wako.
Zaburi 139:7-12
NIende wapi nijiepushe na roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako?
Kama ningepanda mbinguni wewe upo huko;
Ningefanya kitanda change kuzimu wewe upo.
Ningezitwaaa mbawa za asubihi,
Na kukaa pande za mwisho wa bahari,
Huko nako mkono wako utaniongoza.
Na mkono wako wa kuume utanishika.
Kama nikisema "Hakika giza litanifunika"
Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Giza nalo halikufichi kitu,
Bali usiku huangaza kama mchana;
Giza na mwanga kwako ni sawa sawa.
Yohana 14:3
Baada ya kwenda na kuandaa makao kwa ajili yenu,
Nitakuja tena kuwachukua, ili jilipo mimi nanyi muwepo.
• Ikiwa moja ya maandiko haya yatakuwa ya msaada kwa mtu
ambaye una mfahamu basi panga kumtembelea na kuwapa neno hili ,kwa
kumsaidia muhusika.
7.Andika maombi yako mwenyewe yakionyesha ni kwa namna gani unamshukuru
MUngu kwa sababu ya uwepo wake, kumbuka hakuna ambaye atakuliza
kuhusu
Hayo mambi uliyo yandika katika kipindi cha kujisomea biblia, andika
ombi lako
Hapa.
_____________________________________________________________________
This is a translation of Lesson #3 Students
Study Book, the English version of -
What is God like is
available online from their website.
The Guide has her own Guidebook to help her
lead and guide the lesson.
View Guidebook online
Download
Swahili Lesson #3 Guidebook
Download Swahili Lesson #3 Bible Verses
Handbook
|