home >>
stonecroft>> je
mungu yokoje? >>
somo 4 >> somo 5
Je Mungu yokoje? - Somo #5
Nani awezaye kumjua Mungu?
Download
Swahili Lesson #5 Student Studybook page 1-2
Download
Swahili Lesson #5 Student Studybook page 3-4
Maombi
Mungu mwenyezi nataka kujifunza mengi kukuhusu, nisaidie kuelewa
mambo amabayo nasoma, nashangazwa na ukweli wa kwamba wewe ni mkuu
kuliko uumbaji wako wote, lakini hata hivyo bado tu unataka kuhusiana
nami. Naomba katika jina la Yesu. Amen
Mungu hategemei kutuona tukijua kila kitu kumhusu lakini angependa
kutuona tukijua ukweli huu muhimu:
• Mungu ni Roho.
• Alikuja hapa ulimwenguni na akachukua mwili wa mwanadamu
kama Mungu-mtu Yesu Kristo.
• Kama mwanadamu aliishi maisha matakatifu.
• Alikufa msalabanai, akazikwa na akafufuka kutoka katika
wafu.
• Baada ya ufufuo alirudi mbinguni katika mwili wa mwanadamu
wa utukufu.
• Yuko pamoja nasi sasa kama Roho mtakatifu asiye onekana.
Mungu anatutambua .anatujua vizuri kuloiko mtu
mwingine awaye yote, amekuwa akitujua tokea kitambo, swari ni
hili-je unamjua Mungu?
|
(If you do not have
a Bible, look up the verses in the Bible Verse Handbook)
Download Bible Verses Handbook
Kujisomea Biblia kwa Juma
Kila siku katika juma hili ujisomee mistari ifuatayo na ujimu maswari
ambayo yapo katika maeneo hayo.
Yohana 14:21-23
Je Mungu atajifunua kwa nani?
__________________________________________________________________
Warumi 5:6-9
Kwanini Yesu alitufia msalabani wakati sisi ndio tulikuwa watenda
dhambi?
__________________________________________________________________
1 Timotheo 2:1-6
Ni nani ambaye Krsito anataka aokolewe?
__________________________________________________________________
Yakobo 4:7-10
Ni fisa zipi zinazo hitajika ambazo zitamfanya MUngu awe karibu
nasi?
__________________________________________________________________
2 Petro 3:9
Kwanini MUngu anachelewesha siku yake ya hukumu?
__________________________________________________________________
Waebrania 11:6
Unapo kuja kwa MUngu unapaswakuwa na imani ya kuamini nini?
__________________________________________________________________
Mathayo 11:27-30
Yesu anamualika nani aje kwake?
__________________________________________________________________
• Chagua andiko lolote la juma hili ambalo lina maana sana
kwako katika wakati huu, tafakali juu ya ukweli huo na uuweke katika
maisha yako ya kila siku.
1. Biblia inazungumziaje juu ya mtu kumjua Mungu?
Zaburi 46:10
__________________________________________________________________
Zaburi 145:18-19
__________________________________________________________________
Isaya 55:3
__________________________________________________________________
Waebrania 10:22
__________________________________________________________________
2.Yesu aliwambia wanafunzi wake namna ya kumjua
Mungu,
Yohana 14:6-7. Katika maneno yako mwenyewe elezea aliwambia
nini?
|
Mungu anajua kuwa sisi ni watenda dhambi. Anajua hatuwezi kujitenga
na dhambi.
Warumi 3:20-24, inatuambia namna ya kuwa huru.
Neno kuamini maana yake ni zaidi ya kujua kuwa Yesu ni mwana wa
Mungu, ambaye alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, Kuamini
maana yake ni kuwa na tumaini kwake na kutubu dhambi zako.
Kutubu maana yake nini, ni kubadirisha mwelekeo.maana yake ni kukata
kona, kumfuat Yesu maana yake huwezi kufanya mambo yako mwenyewe
.
Kutubu maana yake ni kumgeukia Mungu.
Je umepokea kalama ya Mungu ya wokovu?
Kama Yesu Kristo hayumo ndani yako, ongea na MUngu kwa maombi,
tubu dhambi zako, Muombe kuwa akusamehe na akupe uzima wa milele.
Mungu atakusamehe maana msamaha na uzima wa milele ni vitu ambavyo
Mungu angependa akupatie, huitaji kujishughulisha ili uvipate bali
unapaswa kuamini tu ili upokee.
3. Soma mistari ifuatayo. Tunapaswa kufanya nini ili tupokee huu
uaimza na kalama hiyo ya msamaha?
Yohana 6:29
Yohana 5:24
4. Yesu alimwambia mtu mmoja kuwa ni lazima azaliwe mara ya pili.
Soma Yohana 3:1-8, Kuona kuwa Yesu alisema nini juu ya kuzaliwa
mara ya pili katika familia ya kimungu.
Andika mwaka na tarehe hata ya kukisia ambayo wewe ulizaliwa baada
yakumwamini Yesu na kumpokea kama mwokozi wa maisha yako.
5. Iwapo umeomba Yesu aingie moyoni mwako kuna mambo kadhaa mazuri
hutendeka katika maisha yako.Orodhesha Baraka kadhaa ambazo zimetamkwa
katika maandiko haya yafuatayo.
a.Yohana 3:36
____________________________________________________________________
b. Yohana 16:24
____________________________________________________________________
c. Warumi 4:7-8
____________________________________________________________________
d. Warumi 5:1
_____________________________________________________________________
e. 2 Wakorintho 5:17
_____________________________________________________________________
f. Efeso 1:13
_____________________________________________________________________
g. Waebrania 13:5
_____________________________________________________________________
6.Andika maombi yako kwa Mungu,mshukuru kwakuwa anakujua na mshukuru
kwakuwa kakupa uwezo wa kuwa na uhusiano naye, Muombe ili awe na
umuhimu katika amisha yako, wakati wa mafunzo utakuwa na wakati
wa kuwambia wenzako hilo ombi.
______________________________________________________________________
This is a translation of Lesson #5 Students
Study Book, the English version of -
What is God like is
available online from their website.
The Guide has her own Guidebook to help her
lead and guide the lesson.
View Guidebook online
Download
Swahili Lesson #5 Guidebook
Download
Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #5
|