home >>vijana
wa stonecroft>> yesu
ni nani? >> somo
5 >> somo 6
Yesu ni nani? - Somo #6
JE NITAMWONA YESU TENA?
Download
Swahili Lesson #6 Student Study Book
Download Swahili Lesson #6 Bible Verses
Handbook
Maombi
Baba yangu uliye mbinguni, asante kwa kunifundisha
sana kuhusu yesu. Ninataka kujifunza zaidi kutoka kitabu chako kitakatifu
ninapoendelea kusoma somo hili. Nataka nijue kama nitakuja kumwona
yesu. Katika jina la Yesu nikiimba, AMEN……
Kujisomea Biblia Kwa Juma
Soma vifungu vifuatavyo vya Biblia na uandike mawazo uliyoyapata
kutoka katika kila kifungu ulicho kisoma.
Yohana 1:14-18
_____________________________________________________
Yohana 14:1-11
_____________________________________________________
1 Yohana 5:10-12
_____________________________________________________
Mathayo 16:24-27
_____________________________________________________
Wafilipi 2:5-11
_____________________________________________________
1 Wathethalonike 4:15-18
_____________________________________________________
Yohana 5:24-29
_____________________________________________________
1. a. Yesu Kristo ni nani kwako?
_____________________________________________________
b. Yesu alisema ni ipi ambayo ni amri kuu? Mathayo 22:36-40
_____________________________________________________
c. Jesus did many important things when
He was on earth. His most important work was also the reason He
came. What was that? Mark 10: 45
_____________________________________________________
2. Jaza nafasi zilizoachwa wazi. Chagua maneno haya kuweza kujaza
nafasi hizo:
Mbadala/badala |
taifa |
haiwezekani |
kufa |
kutenganishwa/tenganishwa
|
kifo |
mataifa |
takatifu |
kutokuwa na dhambi |
mwili |
kuzalia katika ubikira |
arobaini (40) |
Mungu |
kuzikwa |
kulipwa |
kudhibiti |
msamaha |
ndani |
tatu |
msalaba |
mwanakondoo |
dhambi |
|
|
Adhabu ………ilitangazwa kwa watu wote waliotenda
dhambi ilikua……. Hapo mwanzo, mungu alisema wasio na
hatia……. Wangekufa katika eneo la watenda dhambi. Alikuwa
na watu ambao walitoa dhabihu takatifu ya wanyama hasa……
pale walipotaka kusamehewa dhambi zao na mungu. Damu ya kondoo waliyokuwa
wanaitoa haikuweza kutoa …………. Hii ilikua
na alama ya sadaka kamilifu amabayo mungu alikua anatoka. Hii ilizuia
dhambi zao mpaka pale Yesu alipokuja duniani na ……….
Kwa ajili ya dhambi ya ulimwengu mzima.
Pia ili kufa ilitakiwa kuwe awe na…………
kwa sababu alikuwa ni mungu na ilikua…….. kw amungu
kufa, kwa hiyo alichaguliwa na aliandaliwa…………….ambapo
aliandaa mwili wake mwenyewe. Yeye….. wao kutoka kwa wengine…….ya
ulimwengu na aliwapa sharia za kufuata kwa……………kuishi.
Muda ulipowadia, kulingana na mpango wake alikuja ulimwenguni kama
myahudi…….. mtoto, aliishi……maisha na alikufa
pale………………kwa sababu ya dhambi
zetu zote. Alikua………….lakini baada ya siku
ya……………..alifufuka kutoka kwa wafu;
na kujidhihirisha yeye mwanyewe kuwa anaishi. Baada ya kuonwa na
watu wengi kwa siku………., akapaa na kurudi tena
mbinguni.
Deni la dhambi………………kabisa,
sehemu yetu ni kupokea………….ya mungu na zawadi
ya kumkubali Yesu kristo, kwani baada ya kufa msalabani alilipa
deni tulilokuwa tunadaiwa tangu zamani. Tunarudisha……...ya
maisha yetu juu yamungu.
Imani inadhihirisha tabia
3. Yesu atakapo rudi tena ni nani ambaye ataweza kumuona kwa kwa
kipindi hicho?
Ufunuo 1:7
_____________________________________________________
4. Biblia inasema kutakuwa na muda wa mateso makali sana duniani,
soma vifungu vitatu vifuatavyo kwamba nini kitatokea kabla Yesu hajarudi
tena kwa mara ya pili na uandike kitu cah muhimu baada ya kusoma vifungu
hivi vya Biblia ambacho ni cha kuvutia sana.
a. Mathayo 24:21-31
_____________________________________________________
b. Marko 13:32-37
_____________________________________________________
c. Luka 21:25-28, 34-36
_____________________________________________________
5. Kwa kuwa hakuna anaye jua kuwa Yesu atarudi lini, tunaweza tukafa
hata kabla hajaja. Nini kinatokea tunapokufa? Ebrania 9:27
_____________________________________________________
6. Kwa maneno yako mwenyewe, elezea kuhusu hukumu itakayokuja kutakana
na mistari ifuatayo ya Biblia.
a. 2 Korintho 5:10
_____________________________________________________
b. Matendo 17:30-31
_____________________________________________________
c. Ufunuo 20:11-15
_____________________________________________________
Watu wanavyosema kuhusu kuokolea, wanazungumzia sana kuhusu kuokolewa
katika adhabu ya bile ile ya kutupwa katika ziwa la moto.
Tukisoma kile ambacho mungu alisema katika hukumu yake takatifu,
tunakuja kugundua kuwa kumkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha
yako kunaepusha adhabu ile ambayo ulipangiwa au tuliyokuwa tumepangiwa.
Tunatakiwa sisi wenyewe kujitoa kikamilifu mbele za mungu. Mioyo
yetu inatakkiwa iendelee kumsifu yeye kwa wokovu wake kwetu.
Mungu hapendi kuona watu wake wanaenda jehanamu, aliweka jehanamu
kwa ajili ya shetani na malaika zake aliodondika nao toka mbinguni
walipo asi na si kwa ajili ya watu (Mathayo 25:41). Watu wao wana
uhuru wa kuchagua kumtumikia shetani au kumtumikia mungu.
Ishi na mtazamo, yakinifu wa milele!
7. a. Ni kwa kiasi gani mambo uliyosoma kutoka katika masomo haya
yanakuathiri maisha myako ya ila siku? 2 Wakorintho 7:1
_____________________________________________________
b. Kivipi mtazamo wako juu ya kumiliki vitu na vile ambavyo unafikili
kumiliki ukaja kubadilika ? Mathayo 6:19-21
_____________________________________________________
c.Kivipi kuhusiana na ukweli kwamba Roho Mtakatifu anaishi ndani ya
waamini inaathiri mitazamo yao kuhusiana na ugumu na kukatishwa tama?
Yakobo 1:2-4
_____________________________________________________
d. Ni jinsi gani ufahamu wa mungu juu ya kuleta mwokovu unaathiri
maisha ya wanadamu na jinsi ya kushirikiana na watu wengine? 2Timotheo
4:1-5.
_____________________________________________________
e. Ni jinsi gani 1 Korintho 15:58, unavyowatia wakristo moyo ili
wawe wakristo hai na wenye kutenda kazi?
_____________________________________________________
8. Unaposoma neno la mungu huwa linabadilisha maisha. Ni jinsi
gani katika kusoma kwako masomo haya yameweza kubadilisha maisha
yako?
_____________________________________________________
9. Andika maombia yako hapa ya kumshukuru mungu kwa kumtuma mwanawe
Yesu kristo. Tutakapo kuwa tunaendelea katika na mijadala mbalimbali,
utakuwa na muda mzuri wa kuweza kutushirikisha maombi yako. Andika
hapa maombi yako.
_____________________________________________________
Maombi
Heavenly Father, thank You for coming to earth
to take the punishment for our sins. Thank You for being willing
to come into our lives. Thanks You for the promise that You will
never leave us alone! Help us surrender our lives to Your control.
Finish what you have started in each of our lives. We pray in Jesus’
name. Amen.
______________________________________________
|