home >>vijana
wa stonecroft>> yesu
ni nani? >> somo
4 >> somo 5
Yesu ni nani? - Somo #5
YESU YUKO WAPI KWA SASA
Download
Swahili Lesson #5 Student Study Book
Download Swahili Lesson #5 Bible Verses
Handbook
Maombi
Mwenyezi mungu, naomba unifungue macho na moyo wangu ninavyoendela
kusoma. Naomba uninyooshe ee BWANA. Nisaidie kukua kiuelewa ili
niweze kuelewa kuwa wewe ni nani hasa. Ninaomba katika jina la Yesu
kristo, AMEN..
Kujisomea Biblia Kwa Juma
Soma vifungu vifuatavyo vya biblia vifuatavhyo na uandike maneno
yanayotuambia kuwa leo hii Yesu yuko wapi.
Matendo 1:6-11
_____________________________________________________
Matendo 2:32-35
_____________________________________________________
Waebrania 4:14-16
_____________________________________________________
Wagalatia 2:15-20
_____________________________________________________
Waefeso 3:14-21
_____________________________________________________
Wakolosai 1:27-29
_____________________________________________________
1 Petro 3:22
_____________________________________________________
1. Luka aliandika kile kilichotokea baada ya ufufuo. Soma Matendo
1:1-11, na ujaze nafasi zilizo achwa wazi kwa kutumia maneno yafuatayo:
Hai/ anaishi |
tena |
40 |
Yesu |
mitume |
wingu |
mbinguni |
aliwaambia |
mbinguni |
nyeupe/ meupe |
|
|
Hata …………………siku alicukuliwa,
Yesu aliwatokea…………………….mara
nyingi na katika nyakati tofauti tofauti ili kuhakikisha kuondoa
mashaka kuwa yeye alikua…………………………….
Walimuon ana wakaongea naye. Yeye …………………..
wao kuhusu mabo yatakayo kuja kutokea.
Siku moja, wakati Yesu alikua akiongea pamoja nao, alichukuliwa
kwenda……………. Wakatiti wakiwa wanamwangalia.
…………………….. yalimficha
yeye kutoka machoni pao. Watu wawili walijitokeza wakiwa wamevalia
mavazi………………………………..
wakawaaambia………………………..,
ambaye amechukuliwa kwenda………………………….atakuja………………………………..
mlivyomwona akienda zake.
2. Biblia ina rekodi nyingi kuhusu Yesu alivyokuwa akiwatokea watu
baada ya kufufuka kwake/ au baada ya ufufuo wake. Soma vifungu vifuatavyo
katika biblia na uandike ni nani au kwa akina nani ambao Yesu aliwatokea.
a. Yohana 20:14-18
_____________________________________________________
b. Luka 24:13-15
_____________________________________________________
c. Yohana 20:26-29
_____________________________________________________
d. 1 WaKorintho 15:5
_____________________________________________________
e. Yohana 21:1
_____________________________________________________
f. 1 WaKorintho 15:6
_____________________________________________________
g. 1 WaKorintho 15:7
_____________________________________________________
3. Yesu yuko wapi leo? Waebrania 12:2
_____________________________________________________
4. Yesu anatufanyia nini sisi? Waebrania 7:24-25.
_____________________________________________________
5. Kifo cha Yesu kilitukamilishia nini sisi? Warumi 5:8-9.
_____________________________________________________
6. Yesu alikufa msalabani na akafufuka tena ili sisi tusamehemu
na tuwe na uhusiano nay eye kwa kuwa alijitoa kwa ajili yetu. Tunatakiwa
tumwambie Yesu atusamehe na tumwalike yeye katika maisha yetu. Hiki
ndio kitu amacho tunatakiwa tukifanye sisi. Hauna mtu mwingi ambaye
anaweza kufaya tena kwa ajili yetu.kama hukumbuki ni kipindi gani
ambacho ulimwalika Yesu kuingia ndani ya maisha yako, unaweza ukafanya
hivyo sasa.
Weka imani yako kwa Yesu na upokee msamaha kutoka kwake, na utapata
thawabu ya milele.
a. Tambua ya kwamba Yesu alikuumba ili uwe na ushirika nay eye.
Anakuoenda sana na anataka wewe pia umpende yeye kama yeye alivyokupenda.
b. Tambua ya kwamba wewe ni mwenye dhambi kwa hiyo huwezi hata siku
moja kujiokoa mwenyewe.
c. Amini ya kwamba Yesu alikufa msalabani ili kulipa adhabu ya dhambi
juu ya yako, na akafufuka kutoka kwa wafu, na hivyo leo hii yu hai,
leo hii amini ndani ya moyo wako, sio tu kwenye kichwa chako au
akilini mwako tu.
d. Sema na mungu ndani ya maombi.
1. Mwambie mungu aje ndani ya maisha yako.
2. Tubu dhambi zako zote, ambapo hii inamaanisha kwamba uache zile
njia mbaya na kuja katika njia nzuri ya mungu.
3. Mwambie akusamehe dhambi zako zote.
4. Yaachilie maisha yako yadhibitiwe na Yesu kristo. Mfanye huyu
Yesu awe Bwana wako.
e. Mwambie mtu ulichoamua kukifanya.
f. Shirikisha maamuzi yako kwa wanakikundi chako, na katika mwongozo
wa masomo ya stonecroft.
g. Kama kumempokea Yesu kristo kama bwana na mwwokozi katika maisha
yako andika mwaka. Hiyo ni siku ya kuweza kukumbuka sana maana ina
maana sana katika maisha yako. Kama wewe ulimpoikea Yesu zamani
andika tarehe ambayo ulimokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wako (
unaweza ukakadiria tarehe, au miaka yako ya kuwa ndan ya wokovu
kama huna uhakika).
_____________________________________________
7. Mishtari ifuatayo ya biblia inafunua nini kuhusiana na wale
wote ambao wamemwomba Yesu kristo kuingia ndani ya maisha yao?
a. Wagalatia2:20
_____________________________________________________
b. 1 Korintho 3:16-17; 1 Korintho 6:19
_____________________________________________________
c. Warumi 8:9-11
_____________________________________________________
8. Pitia mistari na uielewe vizuri kisha, andika neno linalokosekana
katika nafasi zilizoachwa wazi.
Matendo 4:……………….
………………………….inatakiwa
atafutwe kwa kupitia………………………..pekee;
katika yote……………… hakuna…………………..nyingine
ambaye…………………. Ametupa
ambao…………….sisi.
9. Asante Bwana kwa kutuonesha wewe jinsi ulivhyo na uhusiano mzuri
na sisi. Mwambie mungu aweze kujidhihirisha ndani ya maisha yako.
Ongeza mawazo yako hapa na andika maombia yako hapa.
_____________________________________________________
Maombi
Dear Lord Jesus, we have learned so much about
You. Thank You for Your Holy Spirit, whom You sent to guide and
teach us. Show us ways we can help other people learn what we have
leanred. Teach us as we study the last lesson. We ay in Your name,
AMEN.
_____________________________________________________
|