home >>vijana
wa stonecroft>> yesu
ni nani? >> somo
3 >> somo 4
Yesu ni nani? - Somo #4
KWA NINI YESU ALIKUJA?
Download
Swahili Lesson #4 Student Study Book
Download Swahili Lesson #4 Bible Verses
Handbook
Maombi
Ewe baba uliye juu mbinguni, asante kwa yote uliyonifundisha kuhusu
mwana wako, Yesu Kristo. Nataka nijuae kwa nini alikuja hapa duniani.
Naomba baba unifundishe tena kutoka katika neno lako, ninaomba katika
jina la Yesu Kristo AMEN…
Kujisomea Biblia Kwa Juma
Soma vifungu vifuatavyo vya biblia na uandike kwa maneno yako vinasema
nini kuhusu kwa nini Yesu alikuja duniani.
Mathayo 5:1-2, 17-20
_____________________________________________________
Yohana 6:35-38
_____________________________________________________
Matendo 2:23-24
_____________________________________________________
1 Yohana 3:5-6
_____________________________________________________
Waebrania 2:14-15
_____________________________________________________
Ufunuo 3:20-21
_____________________________________________________
Ufunuo 5:9-10
_____________________________________________________
1. Kwa nini Yesu alikuja hapa duniani? Vifungu vifuatavyo vinatoa
sababu kwa nini Yesu alikuja duniani.
a. Mathayo 5:17
_____________________________________________________
b. Yohana 1:18
_____________________________________________________
c. Mathayo 20:28
_____________________________________________________
d. Luka 4:42-43
_____________________________________________________
e. Luka 19:10
_____________________________________________________
f. Yohana 3:17
_____________________________________________________
g. Yohana 10:7-10
_____________________________________________________
h. 1 Timotheo 1:15
_____________________________________________________
Kwa sababu wote wamefanya dhambi,
na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
Warumi 3:23
Adhabu ya dhambi ilitangazwa na Mungu mwenyewe kwa adamu. Adhabu
hiyo ilikuwa ni ya kiroho na kimwili pia ambapo mauti ndipo ilipoanza
kuupata ulimwengu. Katika Mwanzo 2:17 inasema hivi”walakini
matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku
utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.”
“Kwa maana mshahara wa dhambi
ni mauti;
bali arama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana
wetu”
Warumi 6:23
Yesu ni mbadala wetu
Kupitia agano la kale, Mungu alikuwa anajifunua kwa kusema mtu
mwema, ambaye sio mtenda dhambi, mbadala atakufa kwa ajili ya dhambi
za watu wengine. Lakini tumesoma katika Warumi 3:23 ambayo inasema
wote wametenda dhambi.Kwa hiyo hakuna mtu aliyekuwa hajatenda dhambi
isipokuwa Yesu Kristo pekee.
“Yeye asiyejua dhambi…”
2 wakorintho 5:21
2. Yesu mwenyewe alisema atakufa na atafufuka tena na kuishi. Yeyeyote
aliyeamini aliambiwa. Je Yesu aliwaambia nini katika vitabu vifuatavyo
vya mrejeo?
a. Luka 18:31-33
_____________________________________________________
b. Mathayo 12:38-40
_____________________________________________________
c. Marko 8:31-32a
_____________________________________________________
3. Maadui waliokuwa wanamwandama Yesu je walimkuta ana hatia yeyote
ile ya dhambi? Luka 23:4
_____________________________________________________
4. Yesu hakuwa na dhambi yeyote ile na hakuvunja sharia yeyote ile,
kwa nini alihukumiwa mpaka kufa? Marko 14:61-64
_____________________________________________________
Yesu yeye alijua kabisa kuwa haya yote yatakuja kutokea, hata kabla
ya kuumbwa kwa ulimwengu, alikuwa amesha jiandaa kuja kufa duniani
kwa niamba ya mwanadamu. Na hii ilikuwa ni njia pekee tu ya mwanadamu
kukombolewa kutoka dhambini. Yesu alijua kabisa kuwa mateso ambayo
mwanadamu angeyapata bila ukombozi wowote ule yangekuwa makali mno.
5. Soma kitabu cha Marko ukimalize na uone jinsi alivyokamatwa,
alivyokufa na mazishi yake Yesu Kristo. Marko 14:43-15:47.
Hii imeelezwa karibu katika vitabu vyote vine vya injili.Kila mwandishi
amesisitiza vitu tofauti tofauti. Tunasoma ya kwamba kulikuwa na
majaribio mengi kwa sababu ilikuwa ni ngumu sana katika kumpata
Yesu na ubaya alioufanya. Na pia tunasoma vitu vingine amabvyo Yesu
alivisema akiwa msalabani.
Mathayo yeye aliandika viu ambavyo wayahudi walipenda wavisikie
(Mathayo 27:27-28:15). Aliripoti kuhusu serikali kutuma wanajeshi
kuchukuwa mhuri na kwenda kulinda kaburi. MMathayo anatuambia kuhusu
na wale askari kilichowatokea walipokuwa wanalinda kaburi la Yesu
wakati Yesu anafufuka.
Yohana yeye anazungumzia sana wale watu ambao waliongea na Yesu
baada ya kufufuka kwake (Yohana 19:16-21:25).
Luka yeye alindika vitabu viwili, injili ya Luka na kitabu cha
Matendo . Katika vitabu vyote (Luka 23:26-24:52 na Matendo 1:1-11),
aliandika jinsi Yesu alivyo paa kwenda mbinguni siku 40 baada ya
kufufuka kwake.
6. Biblia inatufundisha kuwa Yesu alikuja duniani ili afe kwa ajili
yetu na dhambi zetu. Kwa kuwa Yesu alikufa kwa ajili yako, je mwitikio
wako kwake utakuwaje?
_____________________________________________________
7. Kariri Matendo 4:12. Andika Matendo 4:12 hapa.
_____________________________________________________
8. Hebu mshukuru Mungu sana kwamba anakupenda na alikufa msalabani
ili wewe uondokane na dhambi. Andika maombi yako hapa.
Maombi
We thank You, Father in Heaven, for the great
salvation You have provided for us. Thank You for Your unchanging
love for us as individuals. Help us apply to our lives all that
we have learned. We ask in the name of Jesus Christ, Amen.
_____________________________________________
|