home >>stonecroft>>
yesu ni nani? >>
somo 1 >>
somo 2
Yesu ni nani? - Somo #2
YESU ALISEMA NINI?
Download
Swahili Lesson #2 Student Study Book
Download Swahili Lesson #2 Bible Verses
Handbook
Maombi
Mungu baba uliyembinguni, kitabu ulichokiandika kina uwezo wa ajabu
sana, kina kweli ya kutosha, nataka kujifunza nini ambacho Yesu
aliweza kuwafundisha watu. Naomba nifungue macho na ufahamu ili
niweze kuelewa neno lako. Ninaomba katika jina lako la uweza, AMEN.
Kujisomea Biblia Kwa Juma
Soma mistari hii ifutayo katika Biblia na uandike kwa maneno yako
mwenyewe kile kitu ambacho Yesu alikuwa anawaambia watu wake.
Mathayo 5:1-12
____________________________________________________________________
Mathayo 5:13-16
_____________________________________________________________________
Mathayo 6:1-15
_____________________________________________________________________
Mathayo 6:24-34
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:1-12
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:13-20
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:21-27
______________________________________________________________________
1. Mungu alijitambulisha mwenyewe kwa musa. MIMI NIKO AMBAYE NIKO
(Kutoka 3:14). Mara nyingi katika injili zake Yesu alise
MIMI NIKO, alimalizia kile ambacho kilionekana kama
hakijakamilika katika sentensi (MIMI NIKO….) kwa maneno aliyokuwa
anawaambia watu jinsi alivyo kwa wale wanaomwamini. Hebu soma vifungu
vifuatavyo katika Biblia na uweze kukamilisha sentensi.
a. Yohana 13:19……. Mimi _________________________________________________
b. Yohana 8:12…..…. Mimi _________________________________________________
c. Yohana 10:9…..…. Mimi __________________________________________________
d. Yohana 10:11…… Mimi __________________________________________________
e. Yohana 10:36..….. Mimi ___________________________________________________
f. Yohana 11:25…..... Mimi __________________________________________________
g. Yohana 6:48…….. Mimi ___________________________________________________
h. Yohana 14:6….…. Mimi ___________________________________________________
Majina na vichwa vilivyopewa na Yesu , katika somo la kwanza na
katika maswali yaliyopita inaonyesha sifa yake.
Muda mwingine katika maisha yetu, majina mengine hyanaweza kuwa
na maana kubwa kwetu sisi. Mkwa mfano, muda ule ambao tunahitajia
ulinzi na kutuongoza, ukisema “Mchungaji Mwema” linakuwa
na maana kubwa zaidi kwa upande wetu. Pale ambapo tunasoma Biblia
na kula cha kiroho yeye ni “Mate wa Uzima”.
2. Ni majina gani katika swali la kwanza yana maana kubwa sana
katika maisha yako?
_____________________________________________________________________
Hotuba ambayo Yesu aliitoa.
Hotuba “ni mahubiri yanayotolewa ili kuwafundisha
au kuelekeza katika dini au katika maadili”.
3. Soma hotuba au mafundisho aliyotoa Yesu mlimani yanayopatikana
katika ukurasa wa 9-18, Mathayo 5:1-7: 29. Orodhesha vichwa vidogo
vya habari ambavyo vimetiliwa wino wa kukolezwa na vitabu vya Biblia
vya kumbukumbu/ vya mrejeo ambavyo vilikuwa vya muhimu kwako.
Mfano:
Kufundisha kuhusu hasira............................................................
Mathayo 5:21-26
_________________________________________________________________________
Hadithi ambayo Yesu aliwaambia
Mfano' ni hadithi fupi na rahisi ambayo inazungumzia ukweli iwe
kiroho au kimwili na kwa ajili ya kurekebisha tabia Fulani.
4. Siku moja, pembezoni mwa bahari, Yesu aifundisha mahubiri mazuri
sana ambayo yalikuwa yamebeba hadithi ndogo ndogo. Mathayo 13:1-58.
Kisha orodhesha majina ya mifano hiyo iliyoandikwa katika vifungu
hivyo.
__________________________________________________________________________
Kwa ujumla, Yesu alisema mifano 60 amayo hiyo mifano yote imeandikwa
ndani ya Biblia.Mifani mingine aliyoizungumza Yesu imerudiwa katika
injili zingine. Mfano ambao huwa unajulikana sana ni ule Mfano wa
Mpanzi.
5. Mathayo, Marko na Luka waliweka kumbukumbu ya Yesu na mifano
yake aliyokuwa anazungumza Yesu alipokuwa duniani. Soma Luka 8:11-15.
a. Nini ambacho mpanzi alipanda?
___________________________________________________________________________
b. Nini kinasababisha mbegu ya neno la mungu isikae sana ndani
yetu?
___________________________________________________________________________
c. Kwa nini udongo mwingine unaruhusu mazao yazae sana na mwingine
unaruhusu kuzaa kidogo.
___________________________________________________________________________
6. Hebu fikiria kuhusu ule mfano wa udongo.
a. Ni udongo upi ambao unaashiria maisha yako?
___________________________________________________________________________
b. Je ni mabadiliko gani ambayo yanahitajika ndani ya maisha yako
ili uwe kama udongo mzuri?
___________________________________________________________________________
Unabii ambayo Yesu alisema
Unabii unatoka “katika kuzungumza chini ya uongozi wa mungu
mwanyewe, yaani pale unabii unapotolewa ni mungu mwenyewe anazungumza”.
7. Agano jipya lina unabii mwingi sana ambao Yesu aliusema, vifunu
vifuatavyo vichache tu vinazungumzia kabisa kuhusu unabii ambao
Yesu alisema katika agano jipya. Andika kitabu cha rejea kwa usahihi
baada ya kusoma nabii hizi alizozisema Yesu.
Marko 8:38
Marko 14:72
Luka 24:5-7
Yohana 5:25-29
Yohana 12:32-33
Unabii |
Rejea ya Biblia |
a. Wanafunzi wake kumkana/ kumkataa |
|
b. Kufa kwake Yesu |
|
c. Kufufuka kwake |
|
d. Ufufuo wetu wa baadaye |
|
e. Kuja kwake tena |
|
8. Maneno ambayo Yesu alikuwa anayasema je yalitokea wapi?
Yohana 17:5-8
Hata katika agano la kale tunasoma kuhusiana na jinsi mungu alivyokuwa
anaongea na wale manabii, makuhani na wafalme wa nyakati hizo. Biblia
imeweka kumbukumbu sahihi kabisa kwa kusema hivi “ MUNGU alisema…….”
Au “ neno la BWANA likamjia kusema….” Vivyo hivyo
hata katika agano jipya mungu alisema na watu wake.
9. Nani aliambiwa na mungu neno na ujumbe katika vifungu vifuatavyo
katika agano jipya?
a. Marko 1:10-11
_____________________________________________________________________
b. Yohana 1:32-33
_____________________________________________________________________
c. Matendo 11:4-9
_____________________________________________________________________
10. Je umejifunza nini katika somo hili kuhusu Yesu na ni nini
alichokisema?
_____________________________________________________________________
Maombi
Mungu baba asante kwa maana naweza kujua kuwa kila jambo ulilolisema
ni kweli. Hakuna mtu aliyesema kama ulivysema. Sasa naweza nikategemea
ahadi zako. Asante kwa kunifundisha. Ninaoma katika jina lako, AMEN..
Maelezo
__________________________________________________________________
This is a translation of Who is Jesus? Stonecroft's
Students Study Book Lesson #2 in Swahili, the English version of
Who is Jesus? is
available online from Stonecroft's website.
Download
Swahili Lesson #2 Student Study Book
Download Swahili Lesson #2 Bible Verses
Handbook
The Guide has her own Guidebook to help her
lead and guide the lesson.
Lesson #2 Swahili Guidebook (To be translated)
Download
Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #2
|