SOMO LA KWANZA
BIBLIA INASEMAJE KUHUSU YESU?
Kitabu mwongozo
Mistari ya Biblia
Matendo 9:5
5 Sauli akasema, “Wewe ni nani, Bwana?”
Sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu, unayemtesa.
Marko 4:41
41 Lakini wao walikuwa wamejawa na hofu wakaulizana, “Ni
nani huyu ambaye hata upepo na mawimbi vinamtii?”
Matayo 16:13-16
13 Basi Yesu alipofika katika wilaya ya Kaisaria Filipi, aliwauliza
wanafunzi wake, “Watu husema mimi Mwana wa Adamu kuwa ni
nani?” 14 Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji,
wengine husema ni Eliya; na wengine husema kwamba ni Yeremia au
mmo jawapo wa manabii.” 15 Akawauliza, “Na ninyi je,
mnasema mimi ni nani? 16 Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiye
Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Marko 6:14-16
14 Mfalme Herode akapata habari hizi, kwa maana jina la Yesu lilikuwa
limefahamika kila mahali. Watu wengine walikuwa wakisema, “Yohana
Mbatizaji amefufuka kutoka kwa wafu ndiyo maana uwezo wa kutenda
miujiza unafanya kazi ndani yake!” 15 Wengine walisema,
“Huyo ni Eliya!” Na wengine wakasema, “Ni nabii
kama wale manabii wa zamani.” 16 Lakini Herode ali posikia
habari hizi alisema, “Huyo ni Yohana Mbatizaji niliyem kata
kichwa; amefufuka!”
2 Kings 2:11
11 As they were walking along and talking together, suddenly a
chariot of fire and horses of fire appeared and separated the
two of them, and Elijah went up to heaven in a whirlwind.
Exodus 3:14
14 God said to Moses, “I am who I am.[c] This is what you
are to say to the Israelites: ‘I am has sent me to you.’”
Yohana 5:18
18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu
kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za
sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa
Mungu.
1. Yohana 21:25
25 Jesus did many other things as well. If every one of them were
written down, I suppose that even the whole world would not have
room for the books that would be written.
2. a. Mathayo 1:21
21 Naye atamzaa mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yesu;
kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka katika dhambi
zao.”
b. Mathayo 1:23
23 “Tazama bikira atachukua mimba, naye atamzaa mtoto wa
kiume nao watamwita Imanueli,” maana yake, “Mungu
pamoja nasi”.
c. Mathayo 3:17
17 Na sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye
d. Mathayo 12:8
8 kwa maana Mwana wa Adamu ni Bwana wa sabato.”
e. Mathayo 16:16
16 Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu
aliye hai.”
f. Mathayo 19:16
16 Mtu mmoja alikuja kwa Yesu akamwuliza, “Mwalimu, nifanye
jambo gani jema ili nipate uzima wa milele?”
3. a. Marko 5:6-7
6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia akapiga magoti mbele
yake,7 akapiga kelele kwa nguvu akasema, “Unataka nini kwangu,
Yesu, Mwana wa Mungu Mkuu? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!”
b. Luka 5:5
5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumekesha usiku kucha tukivua
na hatukuambulia kitu cho chote. Lakini, kwa kuwa wewe umesema,
tutazishusha nyavu.”
c. Yohana 1: 35-36
35 Kesho yake, Yohana alikuwapo pale pamoja na wanafunzi wake
wawili.36 Alipomwona Yesu akipita, alisema, “Tazameni! Mwana-Kondoo
wa Mungu!”
d. Yohana 1:49
49 Nathanaeli akamwambia, “Mwalimu, wewe ni Mwana wa Mungu!
Wewe ni Mfalme wa Israeli!”
e. 1 Korintho 1:6-7
6 kama ushuhuda wetu kumhusu Yesu ulivyothibitishwa ndani yenu.
7 Kwa hiyo hamjapungukiwa na karama yo yote ya kiroho wakati mnangoja
kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
4. Mathayo 1:1-17
1 Kumbukumbu ya vizazi vya ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi
na wa Abrahamu: 2 Abrahamu alikuwa baba yake Isaka; Isaka alikuwa
baba yake Yakobo; na Yakobo alikuwa baba yake Yuda na ndugu zake.
3 Yuda alikuwa baba yake Peresi na Zera ambao mama yao alikuwa
Tamari; Peresi alikuwa baba yake Esroni; Esroni alikuwa baba yake
Aramu; 4 Aramu alikuwa baba yake Aminadabu; Aminadabu alikuwa
baba yake Nashoni; Nashoni alikuwa baba yake Salmoni; 5 Salmoni
alikuwa baba yake Boazi na mama yake Salmoni alikuwa Rahabu. Boazi
alikuwa baba yake Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruti; Obedi
alikuwa baba yake Yese; 6 Yese alikuwa baba yake Daudi ambaye
alikuwa mfalme. Daudi alikuwa baba yake Solomoni ambaye mama yake
ni yule aliyekuwa mke wa Uria; 7 Solomoni alikuwa baba yake Rehoboamu;
Rehoboamu alikuwa baba yake Abiya; Abiya alikuwa baba yake Asa;
8 Asa alikuwa baba yake Yehoshafati; Yehoshafati alikuwa baba
yake Yoramu; Yoramu alikuwa baba yake Uzia; 9 Uzia alikuwa baba
yake Yothamu; Yothamu alikuwa baba yake Ahazi; Ahazi alikuwa baba
yake Hezekia; 10 Hezekia alikuwa baba yake Manase; Manase alikuwa
baba yake Amoni; Amoni alikuwa baba yake Yosia; 11 wakati wa uhamisho
wa Babiloni, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake; 12 na baada
ya uhamisho wa Babiloni Yekonia alimzaa Shealtieli; Shealtieli
alikuwa baba yake Zerubabeli; 13 Zeru babeli alikuwa baba yake
Abihudi; Abihudi alikuwa baba yake Eliakimu ; Eliakimu alikuwa
baba yake Azori; 14 Azori alikuwa baba yake Zadoki; Zadoki alikuwa
baba yake Akimu; Akimu alikuwa baba yake Eliudi; 15 Eliudi alikuwa
baba yake Elieza; Elieza alikuwa baba yake Matani; Matani alikuwa
baba yake Yakobo; 16 Yakobo alikuwa baba yake Yosefu ambaye alikuwa
mumewe Mar ia, aliyemzaa Yesu anayeitwa Kristo. 17 Basi, kulikuwepo
vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka wakati wa mfalme Daudi;
na vizazi kumi na vinne tangu mfalme Daudi hadi wakati wa uhamisho
wa Babiloni na vizazi kumi na vinne tangu wakati wa uhamisho hadi
Kristo.
Yohana 2:1-11
1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi katika mji wa Kana ulioko Galilaya.
Mama yake Yesu alikuwapo 2 na Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa
wamealikwa pia. 3 Divai ilipowaishia, mama yake Yesu alimwambia,
“Hawana divai.” 4 Yesu akamjibu, “Mama, mbona
unanihusisha kwenye jambo hili? Wakati wangu bado haujafika.”
5 Mama yake akawaambia watumishi, “Lo lote atakalowaambia,
fanyeni. ” 6 Basi ilikuwapo hapo mitungi sita ya kuwekea
maji ya kunawa, kufuatana na desturi ya Wayahudi ya kutawadha.
Kila mtungi ungeweza kujazwa kwa madebe sita au saba ya maji.
7 Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni mitungi hiyo
maji.” Wakaijaza mpaka juu.
8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni maji kidogo mumpelekee
mkuu wa sherehe.” Wakachota, wakampelekea. 9 Yule mkuu wa
sherehe akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yame geuka kuwa divai.
Hakujua divai hiyo imetoka wapi ingawa wale watumishi waliochota
yale maji walifahamu.
Basi akamwita bwana harusi kando 10 akamwambia, “Watu wote
huwapa wageni divai nzuri kwanza kisha wakianza kutosheka huwaletea
divai hafifu. 11 Hii ilikuwa ishara ya kwanza aliyofanya Yesu.
Muujiza huu ulifanyika katika mji wa Kana huko Galilaya, ambako
Yesu alidhi hirisha utukufu wake, na wanafunzi wake wakamwamini.
Marko 1:9-11
9 Baadaye Yesu akaja kutoka Nazareti katika sehemu ya Gali laya,
akabatizwa na Yohana katika mto wa Yordani. 10 Yesu alipo toka
kwenye maji aliona mbingu zikifunuka na Roho wa Mungu anam shukia
kama njiwa.11 Na sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni
mwanangu mpendwa; nimependezwa nawe.”
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yatu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume;
na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; naye ataitwa jina lake,
mshauri wa ajabu, mungu mwenye nguvu, baba wa milele, mfalme wa
amani.
Wakolosai 1:15-20
15 Kristo anafanana kabisa na Mungu asiyeonekana. Yeye ali kuwepo
kabla Mungu hajaumba kitu cho chote. 16 Yeye ndiye ali yeumba
vitu vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana;
kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka:
vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake. 17 Yeye alikuwapo kabla
ya vitu vingine vyote na kwa uwezo wake vitu vyote vinahusiana
kwa mpango. 18 Yeye ni kichwa cha mwili, yaani kanisa lake; naye
ni wa kwanza na mzaliwa wa kwanza wa wale wote wanaofufuka kutoka
kwa wafu, ili yeye peke yake awe mkuu katika vitu vyote. 19 Kwa
kuwa ilimpendeza Mungu kwamba ukamil ifu wake wote wa kimungu
uwe ndani ya Mwanae; 20 na kwamba kwa njia ya mwanae vitu vyote
vilivyoko duniani na vilivyoko mbinguni vipatanishwe na Mungu,
kwa ajili ya damu yake iliyomwagwa msala bani kuleta amani.
15 Kristo anafanana kabisa na Mungu asiyeonekana.
Yeye ali kuwepo kabla Mungu hajaumba kitu cho chote.
Wakolosai 1:15-20