Project Hope     home>> mwongozo >> somo 5 >> somo 6
Mwongozo Somo #6
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

.SOMO LA SITA (6)
NAWEZAJE KUMFURAHISHA MUNGU?

LENGO LA SOMO
• Angalia mawazo yaliyowekwa katika mafunzo haya.
• Kuelewa sifa za Mungu ambazo ni za kipekee katika uungu wake na zile ambazo anatushirikisha.
• Kutambua utakatifu wa Mungu.
• Kuelewa jinsi ya kufanya mapenzi ya Mungu na kuleta utukufu kwa Mungu.

MAOMBI
Mungu mwenyezi, tuinakushukuru kwa yote ambayo tumajifunza kwa ajili yako. Tunatambua kuwa hatuwezi kutambua ukkuuu wako kama inavyotakiwa kwa zababu wewe uuu zaidi yetu. Tunaomba katika jina la Yesu …….AMEN……….

MAONI YA UONGOZI
Mwijilisti aliyesema katika nchi nyingi alizofanya huduma kwa maeklfu ya watu alisema “ Ulimwengu una utofautitofauti wa kjumtambua Mungu”.

Watu wote ulimwenguni wanataka kumjua Mungu. Wanaweza wakawa hawatumii cha makanisa yao. Wanaweza wakawa hawana heshima kwa wakristo, lakini wanataka kumfaham,u Mungu. Sio tu watu wanataka kumjua Mungu bali hata Mungu mwenyewe anataka watu wamjue yeye.

Tumejifunza vya kutosha kwamaba mawazo yetu haya ya ukomo hayawezoi kufanana na yake yasiyo na ukomo na Mungu. Lakini musa ambaye ameandika vitabu viatano katika Biblia hii, anatuam,bia katika kumbukumbula Torati 29:29 Mungu ameshafunua kile ambachop tunatakiwa kujua.

KUJISOMEA BIBLIA KWA JUMA

(Use your Bible or Africa Bible Verse Handbook)

Kila siku ndani ya wiki hii, soma kifungu cha Biblia kw asiku moja na ujibu maswali.

Marko 12:28-31
Onyesha sheria mbili za muhimu…..
(Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na umpende kila mtu kama unavyojipenda mwenyewe)

Mathayo 4:10
Nani ambaye tunatakiwa kumwabudu na kumtumikia?........
(Kumwabudu na kumtumikia Mungu peke yake)

Mathayo 12:50
Nini kinachoyutambulisha kuwa sisi tunafafa na kristo Yesu?.....
(Tunafanya kile anachotaka sisi tufanye, utii)

Yohana 14:23
Je unajineshaje kuwa unampenda Mungu?..........
(Kutii mafundisho ya Biblia, na mafundisho ya Mungu)

Wafilipi 1:9-11
Nini kitatokea kama kila siku unachagua kilicho bora?.......
(Maisha yako yatajazwa na ubora ambao yesu kristo atafanya ndani yako)

1 Wakorintho 10:31
Unawezaje kuleta utukufu kwa mungu?........
(Fanya kila kitu unachokifanya kwa utukufu wa mungu, kumbuka umuhimu wa mtazamo mzuri)

1 Mambo ya Nyakati 16:23-29
Mstari wa 29 unawaambia watu nini kinatakiwa kifanyike?.......
(Mpe mungu utukufu, leta matoleo kwake na umwabudu yeye)

1. Mungu amejifunua mwenyewe kwa watu kwa kupitia kwa njia hizi hapa tano.

Maandiko
Waamini kuamiini
Uumbajhi
Dhamiri
Yesu, mwana wake

Soma mistari ifuatayo kwa akutumia orodha hiyo hao juu, chagua ni njia gani amabayo Mungu amaijifunua yeye mwenyewe kwetu sisi.

Warumi 1:20……
(Uumbaji)

2 Petyro 1:20-21……….
(Maandiko)

Yohana 1:18……..
(Yesu- mwana wa Mungu amemuonesha Mungu kwetu sisi)

Matendo 1:8…….
(Waamini kuamiini )

1 Timotheo 1:19……..
(Dhamiri)

SIFA ZA KIPEKEE ZA MUNGU

Sifa zingine za Mungu ni za kipekee katiuka uungu wake. Hakuna mtu mwingine ambaye anaweza kuhisi kuwa na sifa kama hizi hapa.

Yeye mwenyewe kuishi au kuwa hai,
Maana yake yeye ni huru yaani kakamilika.

Omnipotence,
Yaani ana nguvu.

Omnipresence,
Maana yake yeyee yupo kila mahali.

Omniscience,
Maana yake anajua kila kitu.

Faradhi,
Maana yake habadiliki.

Uhuru,
Maana yake ana mamlaka isiyo na ukomo.

Watoto wengi huwa wanapenda kuuliza kuwa hivi ni nani aliye muumba Mungu. Kwa sanaabu watoto wanatazama kila kitu kina Mwanzo wake, lazima kuna mtu alikiumba hicho kitu. Kwa hiyo wananuliza “Nani kamuumba Mungu”. Ni ngumu sana kuzungumzia wazo hili la Mungu kuwa hana mwanazo au chanzo.

Je ungemjibu nini mtu ungekuwandio wewe umeulizwa swali kama hilo. “Nani kamuumba mumngu?”.......... (Tulia alafu anza ytaaratibu kuwapa majibu haya hapa.)

Mungu wala hata hajaumbwa .tangu Mwanzo yeye alikuwepo.

Mungu anakua katika njia tofauti tofauti kutoka jinsi tunavyofanya. Mungu ni wa milele. Yeye hana Mwanzo na wala hata kufa. Yeye anajitegemea yeye kama alivyo, kwa hiyo hii ina maanisha kuwa yeye Mungu ataishi milele..na kuendelea kuishi kwake hakutegemei nguvu yeyote ile. Yeye yuko huru yeye kama yeye. Kila kiytu kinachioonemkana ni kwa sababu yake yeye Mungu. Yeye ndiye chanzo cha uhai wetu na vitu vingine vyote tunavyoviona.

Ona katika Yohana 5:26………

Soma katika Ufunuo 4:11…….. Angalkia mstari wa mwisho………. (Kwa mapenzi ya Mungu walipewa kuishi na uhai.)

1. Sifa zingine za Mungu ni za kipekee a bazo anazo yeye kama yeye. Pia Mungu anazo sifa zingine ambazo anashirikiana na mwanadamu lakini katika ukomo Fulani.

a. Soma mistari ifuatayo na taja sifa hizo ambazo Mungu anashirikiana na mwanadamu.

1 Yohana 4:16……… (upendo)

Zaburi 107:1……… (wema na huruma)

Zaburi 86:15………. (compassion na neema)

2 Petro 3:15……… (uvumilivu)

Mathayo 6:14……… (uwezo wa kusamehe)

Mathayo 11:29……… (upole na unyenyekevu)

Wafilipi 4:7……… (amani)

b. Kulingana na sifa ambazo zimetajwa hapo juu katika swali la 2a, toa mifano michache ambapo unaweza ukajionesha au uakazionesha sifa hizo katika maisha yako ya kila siku.

Hata uwe katika hantua nzmuri gani lakini kufanana na Mungu huwezi. Lakini kinachoytakiwa ni kuwa mfanao wa Mungu kwa kuyatenda yale ambayo Mungu anataka sisi tuyatende. Yeye mjungu anantaka wakristo kuwa mifano yake.

MUNGU NI MTAKATIFU

2. a. Ni nini kilichotajwa katika 1 Petro 1:16?.............
(Mungu ni mtakatifu, anataka na sisi tuwe watakatiufu pia)

b.Ni nini ambachop kitakusukuma ili kuwa na sifa hii katika maisha yako? Soma katika Waebrania 12:14………
(Tunataka maisha yetu kuwafanya watu wengine kuja kwa Mungu, kwa utakatiufu wanao uona kwetu sisi)

Mungu yeye ni mtakatifui kweli, na msafi. Sisi wopte ni watenda dhambi. Hakuna mtu ambaye amewahi kufikia viwango vya jutakatifu kama alivyo navyo Mungu.

Njia pekee ambayo tunaweza kumfurahisha Mungu ni kuishi maisha nya utakaso na masafi nay a kunyenyekeakatika mapenzi yake. Pale tunapompokea Yesu katika aisha yetu na kumwalika yeye ni mtakatifu wetu.

3. Kwa kutumia maneno macxhache tu , elezea unafikiria nini munapofikiria kuhusu Mungu. Kuwa mkweli kwa kile unachoelewa kuhusu Mungu……..

KUFANYA MAPENZI YA MUNGU
Unaweza ukasema nnimempokea Yesu katika maisha yangu kama bwana na mwokozi wa maisha yangu, sasa nitajuaje Mungu anataka nifanya nini? Je nitamwambiaje kuwa hiki kitu ndio nataka nfanye, au au kama ni Mungu ananiambiua nifanye hicho?........ (Jadiliana)

Mungu anatuambia katika neno lake kile anachotaka sisi tufanye. Tunaweza tukaangalia tabia zetu na kazi zetu katika mistari ambayo imeorodheshwa katika swali la tano.

4. Soma mistari ifuatayo na kwa maneno machache tu, andika Mungu anataka ufanya nini

Yohana 13:34-35……
(Pendaneni ninyi kwa ninyi, na wamtu watajua kuwa kweli ninyi ni wanafunzi wa kristo)

Yohana 14:15…….
(Tukimpenda Mungu, tutamtii Mungu)

Warumi 12:1……..
(Jitoe mbele za Mungu, na uwe na dira ya kumfurahioa yeye)

Warumi 12:2………
(Usufuatishe ulkimwengu uendenavyo na kuiga tabnia zake, lakini mwachie Mungu aweze kukuonesha njia sahihi yaw ewe kuishi)

1 Wathethalonike 4:3……..
(Ishi maisha matakatifu na masafi)

1 Wathethalonike 5:16-18……..
(Kuuweni na fuiraha, ombeni, na mshukuru )

Kabl hujachukua maamunzi jiulize mwenyewe maswali haya:

Je nikifanuya hili litamfurahisha Mungu?
Je litanisaiduia au litanizuioa katika kutenmbea na Mungu?
Je chaguo langu hili litaoesha upendo wangu kwa Mungu?
Je ,litaonesha kwa watu wengine kuwa namapenda Mungu?
Je ninamfanya sana yaliyo yangu kuli,ko kufanya yal;iyo ya Mungu?

Soma katika Zaburi 25:4-5……. Kumbuka kua njia za Mungu sio njia zako. Kuwa tayari kufanya kila kitu ambacho anakifunua mkwako na atakuonyesha hata mapenzi yake kwako.

Kitu kimojawapo ambacho kinamfurahisha Mungu ni kusoma neno lake. Tumekuwa na nafasi ya kufanyia mazoezi katika kujifunza Biblia.

5. Kumbuka haya yoten uliyojifunza kupitia mafunzo haya, andika au taja vitu vitatum unavyopanga kuvifanya ili kumfurahisha Mungu………

UTUKUFU KWA MUNGU
Jinsu tunavyoendelea kujifunza kuhusu Mungu kutoka katika neno lake, ndivyo tunavyozidi kutambua utakatifu wake, jinsi alivyo, na hekima yake. Tunapomkaribia yeye ndivyo tunavyowez akuona dhambi zetu. Tunapotambua umuhimu wa Mungu kwetu katka maisha yetu ndivyo mYesu kristo ataonekana ndani yetu.

Kwa sababu ya kujikweza kwetu ndivyo tunavyoshindwa kujitambua kuwa sisi hatuwezi kujisaidia, hatuna nguvu yeyote ile tusipo mtegemea Mungu.

Baraka kubwa ambayo tunaweza kupokea ni kujitambua kuwa sisi si chochote na hatuwezi kufanya kitu kitakachokubalika kwa Mungu. Sisi si kitu chochote bila kumtegemea mujngu. Pale am,bapo hatujitoshelezi yeye anatutosheleza Mungu.

Mungu anaweza kutupatia maisha yake na kuweza kuyaopata tukiwa wanyeyekevu mbele zake. Kwa kufanya hivyo kutaleta utukufu kwa Mungu.

Sisi kam wakristo inatakiwa tujiulize:
• Je maisha yangu yanaelezea ukweli kuhusu Mungu?
• Je maisha yangu yanaelezea upendo wa Mungu?
• Je maisha yangu yanaelezea uvumilivu wa Mungu?
• Je ninasamehe kama Mungu anavyosamehe?

Nguzo kubwa ya kuishi na Mungu ni mtazamo wetu na motisha. Kila siku sisi kama wakristo, tunatakiwa tuwe na viashiria na Ufunuo vineshe kuwa Roho ya munu iko ndani yetu.

Maisha yetu yakifunua jinsi Mungu alivyo au yakionesha jinsi Mungu alivyo, Mungu anatumia maisha yetu haya haya kuwafikia wengine na kuleta utukufu kwake.

Njia gani nzuri ya kufikiria kuhusu maisha yetu ya kikristo.

6. a. Kwa nini Mungu aliumba binadamu? Isaya 43:7………. (kwa ajili ya utukufu wake)

b. Tunawezaje kuleta utukufu kwa Mungu? Yohana 15:8……… (kwa kuzalisha matunda mengi sana, ambayo yanaonesha kuwa sisi tunaishi katika umoja na Mungu yanaonesha uwepo wake ndani ya maisha yetu).

Hili ndilo lengo la mauisha yetu sisi kama wakristo kuleta utukufu kwa Mungu. Katika 1 Petro 4:11 tunaamiwa njia nyingine ambayo tunaweza kuleta utukufu kwa Mungu……. Kila kitu tunachokifanya kwa ajili ya kumsifu Mungu tunaleta utukufu kwake yeye. Kil tunachokifanya hatuwezi kukifanya kwa nguvu zetu wenyewe ila tukimwalika Mungu atafanya kwa njia anayo taka yeye. Hii inaleta utukufu kwa Mungu. Je unajua kuwa tunaweza kumfurahia Mungu kwa kuwa na ushirika nay eye?

Soma katika Zaburi 16:11……..

Usisubiri kwamba mpaka uje ufike mbinguni ndiyo ufurahie kuwa na Mungu na kuwa na ushirika naye. Hiyo sio lazima usubirie mbinguni anza hapa hapa dunia katika kuwa karibu na kujivunia uwepo wa Mungu hapa hapa duniani.

Tunaleta utukufu kwa Mungu pale tunapomtii yeye.

Tumesoma misari mingi sana hebu tua,mbie basin i jinsi gani amabavyo unaweza kuleta utukufu kwa Mungu. Ni vitu gani ambavyo tunaweza kuvifanya then vikaleta utukufu kwaMungu ndani ya wiki hii?.....

Tumejifunza sana kuhusu jinsi Mungu alivyo na uungu wake katika utukufu wake. Hakuutuumba basi tu, lakini piaalitupatia njia ya kuwa na ushirika na uhusiano nay eye. Alitupenda na kulinda maisha yetu na sisi kuishi chini ya utawala wake. Yaani huyu Mungu ni wa ajabu sana.

Je tutkwendaje kufanyia mazoezi wa haya yote tuliyojifunza katika mafunzo haya? Rudi katika WakoLosai 3:1-10. Soma katika agano jipya uangalie haya maandiko yanasomekaje.

7. Andika maombi yako kwa Mungu kwa kuelezea uwepo wake ambao ni endelevu. Kumbuka kuwa haya maombi hayatashirikishwa katika kundi. Kwa hiyo andika maombi yako hapa:

Kuhitimisha masomo yetu, hebu tumsifu Mungu wetu sote kwa pamoja kwa kusoma kwa sauti mistari ifuatayo kutika katika Zaburi 150…………..

1Haleluya msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika anga la uweza wake.2 msifuni kwa Matendo yake makuu; msifuni kwa kadri ya uwingi wa ukuu wake. 3 msifuni kwa mvumo wa baragumu; msifuni kwa kinanda na kinubi;.4 msifuni kwa matari na kucheza; msifunikwa zeze na filimbi; 5 msifuni kwa kwa matoazi yaliayo; msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 6 kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya.

Zaburi 150:1-6

MAELEZO

_______________________________________________________________

_______________________________________________________________


 
 

This is a translation of 'What is God like?' Stonecroft's Guide Book Lesson #6 in Swahili, the English version of What is God like? is available online from Stonecroft's website.

In this fresh, engaging study, you will meet the Creator of life and the Sustainer of all things. As you study God's eternal characteristics, you will learn that He is majestic, all-powerful, holy, faithful, and just.

As you explore together what the Bible tells us about God, you'll also learn how to decide for yourself who He is and how He interacts with people. (6 lessons)

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Download Full Guidebook

Download Lesson #2 Guidebook

Download Guidebook Bible Verses Lesson #2

Download Full Guidebook

Download Lesson #6 Guidebook

Download Guidebook Bible Verses Lesson #6

Mwongozo Utakaotuongoza

 
 
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us