home>> mwongozo >> somo 2 >> somo 3
Mwongozo Somo #3
SOMO LA TATU (3)
MUNGU YUKO WAPI?
LENGO LA SOMO
• Kanza kuelewa zaidi kuwa Mungu yuko wapi na anafanana na
nini.
• Kutambua ukaribu wa Mungu na mwendelezo wa uwepo wake.
• Kutambua utayari wake kutujibu pale tunapomwita.
MAOMBI
Mungu mwenyezi, tunataka kujifunza zaidi kuhusu wewe.Tusaidie kuelewa
vitu tunavyovisoma katika neno lako kila siku. Tunatamani kujua
kuwa wewe uko wapi pale tunapokwita wewe. Tunaomba katika jina la
Yesu…….AMEN
MAONI YA UONGOZI
Somo ,hili litaongoza ufahamu wetu, tunapoendelea kusoma kuw a Mungu
yeye ni nani na anafanana na nini.
Ukuu wake uko juu zaidi ya ufahamu wetu. Ufahamu wa
mwanadamu hauwezi hata kidogo katika kufanana na ule ukuu wa Mungu.
Mungu ameumba kila kitu ambacho kipo hapa duniani.
Kila siri yiliyopo Mungu kaumba, hata dakika moja
katika seli ya mwanadamu,ni zaidi ya ufahamu wetu.je ni namana gani
mwana damu wa kawaida akaanza kumwelewa Mungu ambaye yeye aliumba
kila kkitu kilichpo hapa duniani? Kwa kweli Mungu ni wa ajabu sana
nay eye ndiye anaye jua yote.
Kwa hiyo siri mojawapo Mungu anataka sisi tumjue yeye
na inawezekana kabisa. Kumjua Mungu sisi I rahisi sana kwa sababu
anaonekana kwetu sisis nasi tunamfahamu kwa kupitia neno lake ambalo
lipo ndani ya bibl;ia. Jinsi unavyokazana kusoma Biblia ndiyo hivyo
hivyo Mungu unamfahamu zaid..jinsi tutakavyoweza kumjua yeye Mungu
kuwa ni nani ndivyo hivyo amabavyo tutajenga ukaribu nay eye sana
na mkumjua zaidi.
Katika vifungu vya Biblia vya kjusoma katika wiki
vimeeleza kabisa kuwa Mungu yuko wapi.
KUJSOMEA BIBLIA KWA JUMA
(Use your Bible or Africa Bible Verse
Handbook) Kila siku katika wiki hii, soma vifungu vya
Biblia kwa siku na ujibu maswali.
Zaburi 34:18
Mungu yuko wapi pale unapomhitaji?....
(Mungu yuko karibu na watu waliovunjika mioyo.)
Zaburi 193:19
Kiti cha enzi cha Mungu kiko wapi?
(Kiti cha enzi cha Mungu kiko mbinguni.)
Zaburi 145:18
Mstari huu unatuam,bia nini kuhusu Mungu?
(Mungu anasikia pale tnapomwita, kwa ajili ya mahitaji
yetu.)
Isaya 37:16
Mstari huu unasema Mungu anakaa wapi?
(Mungu anakaa katikakati ya makerubi.)
Isaya 40:22
Mstari huu unatuambia nini kuhusu kuwa Mungu yuko wapi?
(Mungu anaishii au anakaa juu ya dunia, mbinguni.)
Isaya 43:2
Mungu anakuwa wapi wakati uko kwenye matatizo?
(Mungu yuko karibu na kila mtu. Hayuko mbali, ila tunashindwa
kumtambua yeye.)
Chagua mstari ambao unaona kwako una maana sana kutoka katika
mistari iliyosomwa katika wiki hii. Jiulize mstari huo ulivyo
na maana kwako wewe kama wewe na utumie katika maisha yako? |
Karibu kila mstari tuliosoma hapo aw3ali unatoka katika agano la
kale. Angalia katika agano jipya linasema nini kuhusiana na kwamba
Yesu yuko wapi, angaliakatika swali la kwanza.
1. Mungu anaishi wapi?
1 Timotheo 6:16……….
(Anaishi katika nuru amabko hakuna mtu anayeweza kumfikia)
Mungu kumfikia inakuwa ni ngumu kwa sababu ya nuru yake na
utukufu wake ulivyo juu zaidi. Lakini Mungu ni mwema sana
alipogundua kuwa hatuwezi kuishi katika maisha ya mazuri nay
a kumpendeza yeye aliamua kujifunua katika jnjia rtofauti
amabyo tunaweza kumwelewa. Kwa mfano, jina lake linaonesha
tabia yake na utu wake. Tunajifunza jinsi ya kuwa karibu na
Mungu kwa kupitia kitabu alichotuandikia ambacho ni BIBLIA.
2. Biblia inasemaje kuhusu sehemu ambapo Mungu haishi?
a. Matendo 17:24-25……………..
(Mungu haishi kwenye majengo yaliyojengwa na binadamu)
b. 1 Wafalme 8:27………………….
(Mbinguni na katika kila eneo….”mbingu za
mbingu”. Sio kubwa kwake yeye!) |
Biblia inatuambia kuwa Mungu hana ukomo, kjwamba aishi katika majengo
au mbinguni. Kwa mujibu wa Biblia hatutakiwi kusema kwamb a Mungu
anaishi kama sisi tunavyotaka aishi au manaishi kwa matakwa yetu
hapana tunatakiwa tusifkiri hiyo.
Uwepo wa munu mumetawala dunia yote, mbingu yote, na katika maeneo
yote. Kwa kuwa eneo aliloliumba halina mwisho, basi tunajua ya kwamab
anaweza akawa hata zaidi ya hapo . Je hicho kinatusaidia kujua jinsi
Mungu alivyo mkuu kwetu?
Munu yuko pamoja na sisi, iwe tunafahamu au hatufahamu, mara nyingi
anatulinda pamoja na mali zetu, anatuokoa kutoka katika hatari wakati
hata hatutarajii kwamba hiki au kile kitatoklea.
Sulemani mfamle wa Israeli alijenga hekal kwa ajili ya Mungu lakini
akagundua baaae kuwa Mungu anaweza akawa haishi humu yeyey yupo
mahali popote pale. Kwa hiyoo yeye jingo halimzuii.Yupo kila mahali,
lakini mambo yote nhayatimiliki katika kiwango sawa.
“ hakai duniani kama anavyofanya mbinguni, au kwa wanyama
kama kwa wanadamu, kwa viumbe hai au visivyo hai, kwwa wasiowatakatifu
au watatkatifu, au katika kanisa kama afanyavyo katika kanisa”
3. Kama Mungu anaishi sehemu ambayo hatuwezi kufikia na sio
katika kanisa au jingo je katika 1 Yohana 4:12 inasema
kuhusiana na kwamaba duniani anaishi wapi?......... (Anaishi
katika umoja na sisi.) |
Kwa kuwa kitabu cha 1 Yohana kiliandikwa kwa ajili ya wakristo
“yaaani kwetu sisi” katika mstari wa 12 kinaelekeza
kwa watu wale waliomwamini Yesu; wale wote walioweka tumaini lao
kwake.
Soma kagtika Isaya 57:15…… Mstari
huu unasema ya kwamab ingawa Mungu huwezi kumfikia aliko lakini
anakuja duniani kuwatia moyo wale wote wlaio wake.Mungu yuko juu
ya kila mtu.Mungu yuko kila mahali. Hakuna sehemu unaweza ukajificha
kwa ke.
Soma Yeremia 23:24…….. Mungu anapenya
hadi katika kila jammbo ndani ya maisha yetu. Kila eneno limejawa
na uwepo wake.
Mungu yeye ndiye muumbaji wa kila kitu pamoja na historia yote.
Anatuongoza mambo ya kufanya. Kwa kupitia Yesu kristo, Mungu anapatikana
kwa kila mmoja anayetaka kuingia ndani yake.
4. Andika kuhusu muda ule ambao ulikuwa na ,ufahamu au utambuzi
kuhusu uwepo wa Mungu au kama kuna muda amabao ulikuwa na
utambuzi kuwa Mungu kuna kitu cha muhimu sana kwako alikuwaanafanya.
…… |
Mungu anataka kutufahamisha ukweli kuhusu yeye kwetu sisi. Anaruhusu
maswala Fulani kujtokea ndani ya maisha yetu ili tuwe waangalifu.
Kwa hiyo tutajua kuwa tunahitaji nguvu kubwa ndani ya maisha yetu
katika ulimwengu huu ,ambao ni wa matatizo na uliojaa uozo. Maana
bila Mungu hapa hatutajua kitu chochote kile.
Soma katika Warumi 1:20…………..
Mungu alijionesha sifa yake ambayo ilikuwa haionekani , yaani nguvu
ya ndani, uungu wake kwa watu wote kwa kupitia uumbaji. Kwa kuelezea
tu jinsi ulimwengu ulivyoumbwa ni kusema ni njia ambayo tunaweza
kusema kuwa Mungu ndiuye aliyeumba dunia hii.
Pia mili kuelewa zaidi jinmsi ya kujua Mungu soma katika Warumi
2:15………..
Kitu cha muimu ambcho hata wiki iliyopita tulikizungumzia ni kuhusu
omnipresence yaani Mungu yuki kila mahali. Omni maana yake ni kwamba
wote “zote” kwa hiyo hili neno maana yake ni kuwa Mungu
yuko kila mahali. Mungu hajadhibitiwa na eneo .Mungu yuko kila mahali
maana yeye ni Roho.
5. Jinsi gani omnipresent (yaani ,Mungu kuwepo kila sehemu
au kila mahali) inakutia moyo wakati magumu yanapokupata?.......
(Inakuwa ni faraja yakmo kujua kuwa Mungu yuko pamoja na wewe
kila muda, haijalishi ni kitu gani kinatokea. Mungu anajua
nini kimetokea na kwa nini. Na pia ana uwezo wa kubadilisha
mambo au kuachilia mazuri yatokee.) |
Mungu ataendelea kuwepo kwa uhalisia katika maisha yetu.
6. Mistari ifuatayo ya Biblia inatoa ,uthibitisho juu ya
uwepo wa Mungu. Soma mistari hiyo, alafu ukariri, mstari unaofit
katika hali yako au katika eneo lako uwe msaada hata kwa mtu
mwingine unayemfahamu.
Kutoka 33:14………..
Zaburi 16:11………….
Zaburi 21:6……………
Zaburi 31:20…………..
Zaburi 46:1……………
Zaburi 89:15…………….
Zaburi 139:7-12……….
Yohana 14:3……………
Kama mstari mmja wapo kati yah ii kama itakuwa ni msaada
kwa mtu mmoja wapo unayemfahamu basin i vizuri ukaweza kushirikiana
naye huyo mtu ilia pate faraja. |
Mungu anataka kuwa na watu wake. Mungu anajua kila kitu na anajionesha
kwetu katika njia ambayo ni nzuri kwetu sisi. Yeye ni tumaini letu.
Kusema kwamba hatuko pamoja na Mungu kunakuja pale ambapo tunakuwa
na uwoga na tunapokuwa na matatizo.
Mungu alipomuumba mwanadamu, alimpa uzima wa millele ndani yetu,
na mtu akaanza kuishi. Hiki ndicho kilimfanya mwanadmau kuonekana
wa tofauti katia uumbaji.
Soma Mwanzo 2:7………
Mpango wa Mungu ni kwamba watu wote waishi nay eye milele. Mungu
aliwapa Adamu na Eva nguvu ya uchaguzi wao wakashindwa kumtii Mungu.
Madhara ya kutokumtii Mungu ni kwamba ni kifo, na kutenganishwa
na Mungu. Soma katika mambo kunbukumbu la Torati 30:19……
Kwa hiyo kutokutii kwa Adamu na Eva hakubadilisha mpango wa Mungu.
Mungu alikuwa ameshaandaa tayari njia ya kuwa hawa watu atawasamehe
vipi. Na kwa wale watenda dhambi kuwa wasafi tena. Tukifuata vile
amavyo Mungu ameandaa tutaishi milele katika ushirika na yeyena
katika sehemu aliyoiandaa kwa ajili yetu sisi.
Usome 1 Yohana 2:24-25………
Unakumbuka ambapo ulichukua uamuzi wa kumkaribisha Yesu katika
maisha yako? Je umetoa maisha yako kwake?Ni uamuzi sahihi ambao
inatakiwa tuufanya. Mungu anataka tuwe nay eye milele yote.
Tunakwenda kuishi milele katika eneo tuliloandaliwa.Sisi ,ndio
tutakaochagua kwenda au kutokwenda. Usikate tama wala usije ukaishia
njiani kuhusu uamuzi uliouchukua. Mungu anataka sisi tuwe pamoja
nay eye milele yote.
7. Andika maombi yako kwa Mungu kwa kuelezea uwepo wake ambao
ni endelevu. Kumbuka kuwa haya maombi hayatashirikishwa katika
kundi. Kwa hiyo andika maombi yako hapa: |
MAOMBI
Ee Mungu wetu, wewe ambaye ,baba umejificha, amabye huwezi kufikiwa
tunashkuru kwa uwezo wako. Tunaomba baba tusaidie kuendelea kujitambua
mbele zako na kuweza kukufahamu wewe siku zote za maisha yetu. Tutakapokuwa
tunaendelea wiki ijayo, fungua macho yetu, ili tuweze kutambua ukweli
wa neno lako. Tunakuabudu wewe, katika jina la Yesu kristo…………AMEN
MAELEZO
_______________________________________________________________
_______________________________________________________________
|