uct >>stonecroft
>> mkakati wa stonecroft wa kuwawezesha wanawake >> historia
HISTORIA YA STONECROFT:
Kufikia leo hii,huduma ya Stonecroft inawafikia maelfu ya watu
dunia nzima kila mwaka,lakini historia ya Stonecroft ilianza na
mwanamke mmoja aitwaye— Helen Duff Baugh – mwanamke
aliye na imani isio teteleka,mwanamke wa Maombi,mwanamke ambaye
aliguswa sana na maisha yaw engine.
Kuanza hapo mwaka 1938, makundi kama hayo ya kiamama wafanyao biashara
yalianzishwa nnchi nzima, mnamo1948, Binti Mary E. Clark, Mwanamke
aliyekuwa mfanya biashara hapo kale na mmishenari,aliamua kuitikia
wito wa Mungu na kujiunga Mama Baugh katika kumsaidia kwenye huduma
yake ya uinjilisti ambayo ilikuwa inakuwa kwa haraka sana.
Katika mwaka1952, Mungu kwa neema yake aliweza kuwapatia Jengo
katika mji wa Kansas,Missouri,ambapo hapo ndipo palikuwa ofisi zao
za kitaifa,Jengo hilo likaitwa Stonecroft,likiwa na maana ya “Nyumba
ya Mwamba”. Hii ilikuwa ni ukumbusho kuwa Yesu Kristo ni Mwamba
na ni jiwe kuu la msingi.
Kwa zaidi ya mika 70 , Mungu kwa uaminifu amekuwa akilinda,kuwapatia
mahitaji yao,na kuongoza huduma ya Stonecroft,katika tamaduni inayo
badirika haraka sana,mambo mawili ni muhimu sana.Kujitoa kwetu katika
maombi na Uinjilisti
Stonecroft kwa sasa wamehamia ofisi ndogo maana ofisi zao za mwanzo
wameuza ili pesa za ziada wapate kuzipeleka katika uinjilisti.
|