uct >> stonecroft
>> mkakati wa stonecroft wa kuwawezesha wanawake
KANUNI NA SHERIA ZA MASOMO
YA KIBIBLIA YA STONECROFT
Huduma ya Stonecroft imejiwekea kanuni kwa jili ya masomo yake
ya kibiblia, ni muhimu kwa mtu yeyote anae hudumu katika huduma
hii ya Stonecroft afuate hizosheria na kanuni.
Injili ya Yesu ambayo imeandikwa katika kila somo la Stonecroft
ni muhimu kuwa ihunbiriwe kwa uhakika na umakini mkubwa.
Huduma ya Stonecroft hawana msimamo mwingine wa imani,au msimamo
wa kisiasa nje ya maelezo yao ya imani.
Wote ambao wanajihusisha na Stonecroft watafanya haya yafuatayo:
• Kukubariana na msingi wa imani ya huduma ya Stonecroft.
• Kutenda kazi kwa ushiriano na kanisa lako.
• Kila neno litakalo nenwa katika mjadala au mazungumzo wakati
wa masomo huo sio msiomamo wetu kama huduma ya Stonecroft .
Katika kujisomea haya masomo ya biblia ya Stonecroft, ni muhimu
wahusika wote wakatumia vitabu ambavyo vimethibitishwa na Sonecroft,
katika somo la utangulizi inashauliwa kuwa wahusika wote watumie
aina moja ya biblia ya Kiswahili.
Watu wote ambao watakuwa wanaisimamia au kuongoza haya masomo ya
kibiblia ya Stonecroft ni lazima watume maombi, waongozaji na wakufunzi
hufundishwa na kiongozi wa eneo husika ,video ya masomo hayo imekwisha
andaliwa na Stonecroft Barbados ili kuwezesha kuwafunza wale watu
ambao wako Tanzania, Malawi, Uganda na nchi nyingine za Kiafrica,
hii video ya dakika 15 itarecodiwa kwa Kiswahili na lugha nyingine
za kiafrika, hii yote ni katika kuhakikisha kuwa tunawafunza wale
ambao watakuwa viongozi, ukiambatanisha na Mwongozo hii itawapa
uwezo mkubwa katika huduma.
|